Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , » KWA MARA YA KWANZA MWANAMUZIKI CIARA BAADA YA KUJIFUNGUWA AMUONESHA MTOTO WAKE HADHARANI

KWA MARA YA KWANZA MWANAMUZIKI CIARA BAADA YA KUJIFUNGUWA AMUONESHA MTOTO WAKE HADHARANI

Written By Unknown on Monday, 16 June 2014 | Monday, June 16, 2014

 
Mwimbaji wa RnB, Ciara ameamua kumuonesha mtoto wake wa kiume aliyezaa na rapper Future.
Jana (June 13) ambayo ilikuwa Fathers Day, Ciara alipost kwenye Instagram picha mbili za mwanae huyo mwenye umri wa mwezi mmoja tu na kuambanisha na ujumbe maalum kwake na kwa mchumba wake Future.
“Hey Dad aka Big @1future. Baby Future Loves You. #HappyFathersDay.” Aliandika kwenye post ya kwanza.
Kabla ya picha hiyo alipost picha ya mtoto akiwa ameshika mkono wa baba yake na kuandika:
 “From The Moment Baby Future Arrived, He Was Holding Your Hand So Tight, He Knew You Were Dad. Seeing That Melted My Heart... When I Look At Him, I See You Shining Through, And That's One Of The Most Beautiful Things Ever! You Are Truly One Of The Realist, Most Caring, Hard Working, Loving Dads In The World, and I'm So Proud Of You.I Love You. Happy Fathers Day.”
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi