Anae husika na maswala ya uchunguzi wa ulaji rushwa ambapo inasemekana kuwa kuna taarifa za rushwa zinaripotiwa kuanza kutonya kwenye baada ya uchaguzi wa nchi ambayo itapokea kombe la dunia mwaka wa 2022 ambapo nchi ya Qatar ikawa nchi ambayo itapokea mashindano hayo kwenye huwo mwaka wa 2022 .
Baada ya mtu huyo kupewa kazi hiyo ya uchunguzi inasemekana ahadi yake ni ya wiki moja ataweza kuweka hazarani matokeo ya uchunguzi wake.
Toleo la kila wiki la jarida maarufu liitwalo "Jeune Afrique" limeweza kuweka kiongozi wa zamani wa shirikisho la soka nchini Burundi mwanamama anae julikana kwa jina la Lydia Nsekera kuwa anahisiwa kuwa katika watu waliyo kula rushwa nakupewa na nchi ya Qatar.
Michael Garcia anae husikaa na uchunguzi huo amesema kuwa kutaka Qatar ishindee uchaguzi huo wakuwa wenyeji wa kombe la dunia mwaka wa 22 ni kwamba kulipitika mchezo mkubwa wa rushwa kwa vigogo kutoka Fifa ikiwemo mwana mama huyo Lydia Nsekera.
Mchunguzi huyo amesema siku zisizo zidi 7 atakuwa ametowa ushahidi na waliyo pokea rushwa hiyo na baadae kufatiliwaa zaidi.
kwa kusubiria ushahidi huo wa huyo mchunguzi bila kuchelewa Jarida maarufu la "Jeune Afrique" limewekaa hazarani majina ya viongozi vigogo wa ngazi za juu wa shirikisho la soka duniani Fifa ambao wanasadikiwa ndio waliwo pewa rushwa na nchi ya Qatar.
Inasemekana Lydia Nsekera anaweza kuwa amepewa pesa na zawadi zingine nono nono kutoka kwa hao wakuu wa Qatar.
Viongozi hao walio tajwa na Jarida hilo ambao wana hisiwa kula Rushwa ni pamojaa na:
1. Anjorin Moucharafou rais wa shirikisho la soka la nchini Benin
2. Lydia Nsekera kiongozi wa zamani wa shirikisho la soka la Burundi na ambae ana salia kwenye uongozi wa juu wa shirikisho la soka duniani FIFA.
3. Général Seyi Memene, mwanajeshi mkuu kutoka nchini Togo,akiwa pia ni makamu wa rais wa shirikisho la soka barani Africa CAF.
4. Seedy Kinteh, Mkuu wa shirikisho la soka nchini Gambie
5. Saïd Belkhayat, mkuu wa zamani wa shirikisho la soka la nchini Maroc
6. Issa Hayatou, ambae ndie mkuu wa shirikisho la soka barani Africa CAF, ambae ni raia wa Cameroon
7. Jacques Anouma mkuu wa shirikisho la soka nchini Ivory Coast
8 Amos Adamu, mkuu wa shirikisho la soka nchini Nigeria
9. George Weah, mwanasoka wa zamani wa Liberia,pia akiwa na wadhifa wa juu kwenye shirikisho la soka barani Africa.
Baada ya mtu huyo kupewa kazi hiyo ya uchunguzi inasemekana ahadi yake ni ya wiki moja ataweza kuweka hazarani matokeo ya uchunguzi wake.
Toleo la kila wiki la jarida maarufu liitwalo "Jeune Afrique" limeweza kuweka kiongozi wa zamani wa shirikisho la soka nchini Burundi mwanamama anae julikana kwa jina la Lydia Nsekera kuwa anahisiwa kuwa katika watu waliyo kula rushwa nakupewa na nchi ya Qatar.
![]() |
Michael Garcia |
Mchunguzi huyo amesema siku zisizo zidi 7 atakuwa ametowa ushahidi na waliyo pokea rushwa hiyo na baadae kufatiliwaa zaidi.
kwa kusubiria ushahidi huo wa huyo mchunguzi bila kuchelewa Jarida maarufu la "Jeune Afrique" limewekaa hazarani majina ya viongozi vigogo wa ngazi za juu wa shirikisho la soka duniani Fifa ambao wanasadikiwa ndio waliwo pewa rushwa na nchi ya Qatar.
Inasemekana Lydia Nsekera anaweza kuwa amepewa pesa na zawadi zingine nono nono kutoka kwa hao wakuu wa Qatar.
Viongozi hao walio tajwa na Jarida hilo ambao wana hisiwa kula Rushwa ni pamojaa na:
1. Anjorin Moucharafou rais wa shirikisho la soka la nchini Benin
2. Lydia Nsekera kiongozi wa zamani wa shirikisho la soka la Burundi na ambae ana salia kwenye uongozi wa juu wa shirikisho la soka duniani FIFA.
3. Général Seyi Memene, mwanajeshi mkuu kutoka nchini Togo,akiwa pia ni makamu wa rais wa shirikisho la soka barani Africa CAF.
4. Seedy Kinteh, Mkuu wa shirikisho la soka nchini Gambie
5. Saïd Belkhayat, mkuu wa zamani wa shirikisho la soka la nchini Maroc
6. Issa Hayatou, ambae ndie mkuu wa shirikisho la soka barani Africa CAF, ambae ni raia wa Cameroon
7. Jacques Anouma mkuu wa shirikisho la soka nchini Ivory Coast
8 Amos Adamu, mkuu wa shirikisho la soka nchini Nigeria
9. George Weah, mwanasoka wa zamani wa Liberia,pia akiwa na wadhifa wa juu kwenye shirikisho la soka barani Africa.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!