Kundi maarufu linalo undwa na vijana wawili kutoka magharibi mwa Africa kule pande za Nigeria lijulikanalo kama Bracket limeachia video ya wimbo wao mpya kabisaa kwa mwaka huu wa 2014 ujulikanao kama "Nana" video hii imetengenezwaa kwenye ile mitindo yakizamanii zamanii vile.
Director wa Video hii simwingine ni yule yule mkali wa kuchanga Rangi anae julikana kwa jina la Clerence Peters wa huko huko Nigeria.
Icheki hapa chiniii iko powa saana.
Director wa Video hii simwingine ni yule yule mkali wa kuchanga Rangi anae julikana kwa jina la Clerence Peters wa huko huko Nigeria.
Icheki hapa chiniii iko powa saana.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!