Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » GOLI KIPA WA ZAMANI WA UJERUMANI AICHOKONOWA UFARANSA KWA KUSEMA KUWA UFARANSA SI TIMU MKUBWA.

GOLI KIPA WA ZAMANI WA UJERUMANI AICHOKONOWA UFARANSA KWA KUSEMA KUWA UFARANSA SI TIMU MKUBWA.

Written By Unknown on Thursday, 3 July 2014 | Thursday, July 03, 2014

Oliver Kahn ameonekana kushindwa kujizuwia kutowa kile ubongo wake yeye anaona ni sahihii nakuamuwa kuichana timu ya taifa ya Ufaransa inayo simamiwa na mwanasoka wa zamani mfaransa Didier Deschamp,kuwa timu yake si timu yeyote.
Mchezaji wa golini yani Mlinda lango ama Goli kipa wa zamani wa Klabu ya mpira ya Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumanii amekichana kikosi cha timu ya taifa ya Ufaransa siku siku moja kabla ya timu yake ya taifa ya Ujerumani kuumana na Ufaransa ijumaa ya hiyo tarehe 4 Julai.
Oliver Kahn alisema  «Ce n’est pas une grande équipe, elle est loin d’être au-dessus du lot»,
Akaongeza tena kuwa «On a vu beaucoup de faiblesses chez les Français contre le Nigeria,Lorsqu’on les presse tôt au milieu de terrain, ils n’arrivent pas à trouver Benzema. Il ne leur reste que peu de possibilités. Quant à la défense, elle n’est pas sûre du tout. Tu auras toujours des chances contre elle»,
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi