Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , , » MWANAMUZIKI TAJIRI WA W.C.B AMEKIONA CHA MOTO BAADA YAKUANIKAA KWENYE MTANDAO PICHA INAYOMUONESHA AKIMSHIKILIA UMBWA.

MWANAMUZIKI TAJIRI WA W.C.B AMEKIONA CHA MOTO BAADA YAKUANIKAA KWENYE MTANDAO PICHA INAYOMUONESHA AKIMSHIKILIA UMBWA.

Written By Unknown on Thursday, 3 July 2014 | Thursday, July 03, 2014

Diamond Platinumz ambaye jina lake halisi la dini ya kiislamu ni Naseeb Abdul ameshambuliwa Instagram na baadhi ya mashabiki baada ya kupost picha akiwa beach huko ughaibuni huku ameshikilia kamba iliyomfunga mbwa.
Mashabiki wengi walimshambulia wakielekeza point yake kwenye suala la imani ya dini ya kiislamu huku wakiunganisha tukio hilo na mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Rashyalhambeshy: ramadhan acha kupost pc zisizo eleweka ww umaaruf ww una umaaruf km mtume muhammad s.w.a na yote kakataza acha mambo yk ayo jua kuna kufa muangalie firauna laanatullah ila me lng jicho. na ktk dini tumeambiwa tukumbushaneni me nimekemea kwa mdomo ok.
Hata hivyo sio wote waliomshambulia, wapo wengi pia waliomtetea kwa points tofauti kama Leanlilie aliyetumia point hiyo hiyo ya imani.
leanlilie :I jus keep wondering who a u to judge another person?kumhukumu mwenzio tuu ni dhambi wew je ni mwema sana?huu ni wakati wa toba jisalie na uombee makosa yako,mwachie Allah ndio mtoa hukumu we Tanzanians tumezidi jaman khaaaaa!!can we atleast think abt our sins and pray acheni watu ma maisha yao.!
Tumejaribu kuwauliza watu wawili watatu ambao wamejikita katika masuala ya dini ya kiislamu kuhusu picha hiyo na imani ya dini hiyo, lakini wao wamenieleza kuwa sio kosa kumgusa mbwa bali ni haramu ‘mbwa kumnusa muumini wa dini ya kiislamu’.

Picha yenyewe hii hapa: 
Tafakari pia, mambo ya imani yanahitaji zaidi ya upeo wa kawaida.



TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi