Maafisa wa Jeshi la Uganda wameeleza kuwa, idadi ya watu waliouawa
kwenye mapigano yaliyotokea magharibi mwa nchi hiyo karibu na mpaka na
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imefikia 70. Taarifa zinasema kuwa,
hadi sasa hakuna sababu maalumu iliyotolewa ya kuibuka mapigano hayo
kati ya watu wanaobeba silaha na jeshi la Uganda. Hata hivyo taarifa
hiyo imeeleza kuwa, eneo hilo liliwahi kushuhudia mapigano ya kikabila
na limekuwa eneo la operesheni la kundi moja la waasi wa nchi hiyo.
Luteni Kanali Paddy Ankunda Msemaji wa Jeshi la Uganda amesema kuwa, watu wapatao 54 wanaobeba silaha wamekimbia kwenye medani ya mapigano na wengine 40 wametiwa mbaroni. Mapigano hayo yamejiri katika maeneo ya Kasese na Bundibugyo karibu na mpaka wa nchi hiyo na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kong

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!