Harakati za kuitengeneza Video hii zimeanza baada ya takribani kama myezi miwili iliyo pita dada huyu Victoria Kimani ambae ni raia mwenye asili ya Kenya akiwakutanisha wakali wawili kutoka Tanzania ambao ni Diamond na Ommy Dimpoz nakufanya kitu ambacho kilipewa jina la "Prokoto".
Video hii inatengenezwa na Director wa Kenya anae julikana kwa jina la Kevin Bosco ila ikitengenezewa nchini Tanzania huku kukichanganywa Location za Zanzibar na Dar es salaam.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!