Chris Brown na mwanamitindo Karrueche Tran ni kama wanacheza mchezo
ambao ni vigumu watu wa nje kuutafsiri kwa usahihi zaidi ya kuhisi tu
kinachoendelea.
Siku mbili baada ya wawili hao kufuta picha za kila mmoja wao kwenye Instagram na kila mmoja kum-unfollow mwenzake, Chris amepost picha ambayo ambayo inazua swali lingine kama vile wamerudiana tena.Mwimbaji huyo wa New Flame amepost picha ya cartoon lakini ukiiangalia kwa ukaribu sana utagundua kuwa kwenye fulana aliyovaa huyo cartoon kuna picha ya Karrueche Tran akiwa ameshikilia bendera ya Marekani.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!