Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , , » EXCLUSIF : SINA BIFU NAMTU NA KAMA KUNA AMBAE TUNAE BIFU BASI ANISAMEHE : YOYA

EXCLUSIF : SINA BIFU NAMTU NA KAMA KUNA AMBAE TUNAE BIFU BASI ANISAMEHE : YOYA

Written By Unknown on Wednesday, 13 August 2014 | Wednesday, August 13, 2014

Ukiulizaa mwanamuzikii yupi au ukitaka mwanamuziki nani anaeweza kukuwakilisha sehemu yeyote bila hofu kuwa ataweza kukuangusha basi huyu mwanamuzikii ukimpa nafasi hizo subiria matunda mazuri.
Anajulikana kama Issa Jamal Yoya alimaarufu kama Sibomana,huyu mwanamuziki ni mmoja kati ya wale wanamuziki wa Burundii wenye hekima ukianzia nyumbanii,kwenye makundi na wenzie wanamuziki hadi hata kwenye mahojiano Rediono.
Hii leo asubuhi ya August 13 mgeni rasmi kwenye kipindi cha Changamka Show with Ismail Niyonkuru alikuwa mwanamuziki huyu.
Hit maker huyu wa Sibomana alitokea kwenye wakati muafaka ambapo track yake ya "Sibomana" kwa sasa ndo habari ya mjinii ukianzia kwenye magenge hadi maofinii,hayo yote nikutokana na wimbo huo ni wimbo ambao si kawaida kwa mwanamuziki wa Burundii kuimba kama vile alivyoimba mkali huyu aidha kuimba kwa kutumia maneno mazito yenye maana zaidi.
Yoya ama Sibomana utahisi alikuwa amejiandaa kwa kumjibu mwanahabari muheshimiwa Ismail Niyonkuru kwa maswali yake yote aliyo kuwa akimswali.
Moja ya maswali makuu aliyo ulizwa ambayo yalikuwa kama kiu kwa wanainchi ambapo walikuwa wakihitaji kujuwa ukweli na kuyajibuu kwa hekima na busara ni swali kuhusu bifu kati yake na mwanamuziki mwenzie Emery Sun ambao wako pamoja kwenye Band moja ya Muziki.
Yoya alionekana kuwa mkweli bila kugugumizaa wala kusita sita nakumjibu mwanahabari Muheshimiwa Ismail Niyonkuru kuwa yeye hana bifu na huyo mwanamuziki nakuongeza kuwa hakuna mtu wake wa Karibu kama Emery Sun,kisha kumalizia kuwa kama kuna yeyote anaweza kuwa alimkosea basi aweze kumsamehe ila yeye kiupande wake hana bifu namtu.
Yoya ambae hivi karibuni ameachia video na audio ki mpigo,na ikiwa ni kazi ya pili mwanamuziki huyo kuachia kwa mwaka huu wa 2014 baada ya "Mot de passe" iliyotoka mwanzoni mwa mwaka huu.
Alipo ulizwa kuhusu swala nzima la utunzi Yoya alisema yeye ni mfano wa muwekezajii wa pesa,vile anavyo rimbikiza pesa na yeye ndo vile anavyo rimbikiza mashahiri.

Kwa sasa mwanamuziki huyu anatamba na video yake ya Sibomana unaweza kuitazama hii hapa.


TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi