Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , , » WASEMA KILA SIKU MWISHO WA MAPENZI NI VITA,NIKWELI.BAADA YA MWANAMUZIKI CIARA NA RAPA FUTURE KUACHANA SASA VITA VYAANZA KATI YAO.

WASEMA KILA SIKU MWISHO WA MAPENZI NI VITA,NIKWELI.BAADA YA MWANAMUZIKI CIARA NA RAPA FUTURE KUACHANA SASA VITA VYAANZA KATI YAO.

Written By Unknown on Thursday, 14 August 2014 | Thursday, August 14, 2014

Rapper Future na Ciara ambao wamepata mtoto miezi mitatu tu iliyopita wameshindwa kupika na kula katika chungu kimoja na hatimaye wamepigana chini.
Kwa mujibu wa TMZ, wasanii hao ambao walikuwa wachumba waliovishana pete ya gharama waliachana kufuatia tabia za Future kuendekeza michepuko hali iliyompelekea Ciara kuvua pete hiyo kama mwiba uliokuwa unamchoma kidoleni.
Masaa kadhaa baada ya wawili hao kutangaza kuachana rasmi, imeelezwa kuwa mapambano mengine yameanza kuhusu mtoto na tayari Ciara ameshaanza michakato ya kisheria kumlinda juu ya malezi ya mwanae.
Ciara amepost picha ya mwanae huyo wa kiume akiwa amemuweke mkono wake hali iliyotafsiriwa kama ndicho kitu cha thamani alichobaki nacho katika penzi lao.Future alikuwa tayari ana wanawake watatu aliozaa nao lakini Ciara aliamini mapenzi hayapimwi kwa kuangalia historia.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi