Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » HUYU NDIE MWANDISHI WA HABARI WA MAREKANI ALIYE KATWA KICHWA NA KUNDI LA WAPIGANAJI WA KIISLAM LA (I.S.I.S).

HUYU NDIE MWANDISHI WA HABARI WA MAREKANI ALIYE KATWA KICHWA NA KUNDI LA WAPIGANAJI WA KIISLAM LA (I.S.I.S).

Written By Unknown on Wednesday 20 August 2014 | Wednesday, August 20, 2014

Kundi la la wapiganaji wa Kiislamu la Iraq na Syria (ISIS) limetekeleza mauji ya kutisha kwa kumkata kichwa mwandishi wa habari wa Marekani.
Mwandishi huyo ambaye pia ni mpiga picha mashuhuri aliyetajwa kwa jina la James Wright Foley alikamatwa na wanajeshi wa kundi hilo mwaka 2012 nchini Syria alikokuwa akiripoti habari za kuondolewa madarakani Bashir Al-Assad.
Katika video inayoonesha mauaji hayo iliyowekwa YouTube inamuonesha mtu aliyemkata kichwa mwandishi huyo akiwa amejifunika uso kwa mask akiongea kiingereza kwa lafudhi ya Uingereza, akidai kuwa wanafanya hivyo kama sehemu ya kulipiza kisasi kwa rais Obama aliyetoa amri ya mashambulizi ya anga dhidi ya kundi hilo nchini Iraq.
Msemaji wa ISIS, ameonya kuwa kutakuwa na tukio lingine la kulipiza kisasi kwa kumkata kichwa mwandishi wa Marekani Steven Sotloff wanaemshikilia.


TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi