Pita kona zote za nchi ya Burundii ambapoo mzunguuko wa mashindano ya kusaka vipajii vya wasanii wachanga vinavyo andaliwa na kampuni nya Beer ya Brarudi kwa kinywajii chao maarufu Primus kwenye mashindano yao waliyo yabatiza jina la Primusic,huyu ndie anae zungumzwaa kuwa kwa sasaa hakuna mwanamuziki kama yeye nchini Burundii.
Inasemekana kijana huu kwenye show zote walizo zifanya kwenye mikoa yote waliyo pitia aliwafunikaa wenziee mabalozii ambao wote waliteuliwaa na Brarudii ambao watakuwa wanatumbwizaa kwenye show za kila mkoa wa Burundii.
Hivi sasa mjinii Bujumburaa anae zungumziwaa kama mwanamuziki bora ni huyu,hapo ukilinganishaa na vile nyimbo zakee zimekuwa kivutio masikioni mwa baadhi ya raia wa Burundiii.
Pia ripoti iliyo chapishwa na mtandao wa Habari wa Warundi waishio huko Marekanii inasemekana huyu ndie mwanamzukii pekee kwa sasa anae kubalika hukoo nchini Burundi na huko Marekanii ukilinganisha na wenginee.
Huyu jamaa kwa sasa ni baba wa familia ya mtoto umoja ambae anajulikana kwa jina la Laillah.
Inasemekana huyu jamaa mke wake anampendaa saana wala hajalii yote yanayo semwa kwa mume wakee ambae ni Bizimana Abubakari Karumee ama Sat-b.Hii ni Kwa mara ya kwanzaa picha inayo muonesha mkee wa star huyo wa "Nyandikaa"kuonekana hadharaniii akiwa na mtoto wakee.
"Tunawatakia maishaa mema na merefu yenye maelewanoo na maridhianooo"
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!