Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » SABABU YA UGONJWAA WA EBOLA HUKO MAGHARIBI MWA AFRIKA,MTU AIONA MAITI YA NDUGU YAKE KAMA TAKATAKA NAKUITUPA BARABARANII.

SABABU YA UGONJWAA WA EBOLA HUKO MAGHARIBI MWA AFRIKA,MTU AIONA MAITI YA NDUGU YAKE KAMA TAKATAKA NAKUITUPA BARABARANII.

Written By Unknown on Thursday, 7 August 2014 | Thursday, August 07, 2014

Ugonjwa wa Ebola unaendelea kuwa tishio kubwa kwa watu Afrika Magharibi huku idadi kubwa ya watu ikipoteza maisha.
Kufuatia hofu ya kuambukizwa ugonjwa huo hatari kwa kugusa au kuwa karibu na wagonjwa au miili ya waliopoteza maisha kwa ugonjwa huo, ndugu wa marehemu wameripotiwa kuiburuza miili ya ndugu zao kutoka majumbani kwao na kuitupa hovyo mitaani hali inayoongeza hatari zaidi ya maambukizi.
Kwa mujibu wa Daily Mail, ugojwa huo hatari unaoweza kusababisha mtu kutokwa na damu machoni, mdomoni na masikioni umeshaua takribani watu 9,000 katika nchi za Afrika Mashariki.
Madaktari wanaohudumia wagonjwa wa Ebola wanapata changamoto kubwa ya kukwepa maambukizi huku baadhi yao wakiripotiwa kupata maambukizi na kupoteza maisha.
Hali ya hatari imesababisha abiria wanaosafiri kutoka Afrika Magharibi kufanyiwa vipimo katika viwanja vya ndege kwa hofu ya kuusambaza ugonjwa huo katika nchi wanazokwenda.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi