Na ndo kwa maana kwenye vipindi vyakee kila kukichaa vinazidi kuongezeka kwa wasikilizajii ukilinganisha na vipindi vinginee vyote vya Burudani nchini Burundiii.
Fahamu kuwa aliye kuwa wakwanzaa kutangaza kolabo ya hawa wasaniii ambao hapo mwanzo walikuwa chui na paka ila kwa sasa ni warafikii wa kweli kwenye bar na kwenye show zaidi na hata kwenye whatsapp amba ndipo ulipo fufukia tena urafiki wao.
Tunawazungumzia Muganii Desire ama Big Fizzo mzaliwa wa mkoani Makambaa na mwanamuziki Bizimana Abubakar Karumee mzaliwa wa hapa mjini Bujumburaa pale tarafanii Cibitokee kama anavyoo fahamika kama Sat-b,wawilii hao hivi karibunii ilibainikaa kuwaa wapo studio za Golden Rec kwa Kook-k chini ya muandaajii mkuu wa studio hiyo Dr Jack Production,kwa kuandaa kazi ambayo inasemekana ingezinduliwaa siku hiyoo ya Final ya mashindano ya Primusic mbele ya halaiki ya warundii.
Ila kwa habarii za chini ya mkekaa nikuwaa inasemekana kuwa mwanamziki Mugani Desiree ama Fizzo amevunjaa fikra zakufanyaa kazi hiyo na kijana huyoo.
Inasemekana siku chachee zilizo pita Fizzo alikutana ana kwa ana na manaja wa Sat-b ambae ni mzungu anae julikana kwa jina la Takis,inasemekana kwenye hayo mazungumzoo waligusia hiyo collabo,pia inasemekana Fizzo akuwezaa kufurahishwaa na maneno aliyo jibizana na manaja huyo wa Sat-b sababu eti kuna kitendo alicho kifanya mwanamuziki Fizzo kikamkera mzungu huyo na ndipo manaja huyo kutaka kuonana na Fizzo kwenye faragha.
Inasemekana Fizzo hakupendaa vile mzungu huyo alivyo kuwaa akimjibia,na hivyo inasadikiwa ndo kikawa chanzoo cha kuamuwaa kutofanyaa tena kolabo na Sat-b.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!