Kamusi ya kiingereza ya Oxford (Oxford Dictionary) imeingiza rasmi
kwenye catalog yake ya online msemo anaopenda kuutumia Drake ‘YOLO’.
Msemo huo ambao ni herufi nne zinazoelezea ufupisho wa neno ‘We All Live Once’ unakuwa miongoni mwa Phrases kama vile FML, SMH na maneno mengine ambayo sio ya ufupisho.
Drake alilitumia ‘YOLO’ kwa mara ya kwanza mwaka 2011 katika wimbo wake The Motto uliokuwa kwenye albam ya Take Care.
Hata hivyo wadau wengi wamekosoa kuwa Drake sio mtu wa kwanza kulitumia neno hilo bali yeye amesaidia kulipatia umaarufu zaidi. hivyo hapaswi kuchukuliwa kama mmiliki wa YOLO.
Wameonesha sehemu 11 ambazo neno hilo lilitumika sana ikiwa ni pamoja na kuwekwa kwenye filamu tena likiwa na maana hiyo hiyo. Hizi ni baadhi tu.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!