Jeshi la Jamuri ya Kidemokrasia ya Kongo linazidi kusonga mbele katika mapambano dhidi ya waasi wa Kinyarwanda wa FDLR katika jimbo la Kivu Kusini, mashariki mwa Kongo. Meja Simon Tuaijiki Mameja Msemaji wa operesheni za kijeshi katika jimbo la Kivu Kusini amesisitiza kuwa, lengo kuu la wanajeshi wa Congo si kuwaangamiza waasi wa FDLR, bali ni kuwashinikiza ili wakubali kuweka chini silaha zao. Meja Mameja ameongeza kuwa, shambulizi hilo litaandaaa mazingira ya kupokonywa silaha za waasi wasiopungua 160.
Home »
siasa afrika
» JESHI LA DRC LAZIDI KUENDELEZA OPERESHENI DHIDI YA WAASI WA FDLR.
JESHI LA DRC LAZIDI KUENDELEZA OPERESHENI DHIDI YA WAASI WA FDLR.
Written By Unknown on Monday, 23 March 2015 | Monday, March 23, 2015
Labels:
siasa afrika
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!