Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , » MA STAR WAWILI WA MUZIKI WA MAREKANI WAHUKUMIWA NA MAHAKAMA BAADA YA KU COPY WIMBO WA MARVIN GAYE.

MA STAR WAWILI WA MUZIKI WA MAREKANI WAHUKUMIWA NA MAHAKAMA BAADA YA KU COPY WIMBO WA MARVIN GAYE.

Written By Unknown on Wednesday, 11 March 2015 | Wednesday, March 11, 2015

Mahakama nchini Marekani imetoa hukumu juu ya wimbo bora katika mauzo uitwao Got To Give it Up.
Hukumu hiyo imetolewa dhidi ya wanamuziki Robin Thicke na Pharrell Williams walionakili wimbo huo.
Katika hukumu hiyo mahakama moja ya mjini Los Angeles iliamuru kuwa wimbo wa Blaared Lines' ulioimbwa kwa ushirikiano wa Robin Thick na Pharrell Williams kwa kosa la kunakili wimbo wa Marvin Gaye uliowahi kutamba mwaka 1977 uitwao Got To Give It Up'.
Robin Thick na Pharrell Williams
Wanamuziki hao wawili wamehukumiwa kulipa dola za kimarekani zaidi ya milioni saba kama fidia kwa familia ya marehemu Marvin Gaye.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi