Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , » ALICHO KISEMA VAN GAAL IKIWA WATA TAKA AONDOKE OLD TRAFFORD.

ALICHO KISEMA VAN GAAL IKIWA WATA TAKA AONDOKE OLD TRAFFORD.

Written By Unknown on Saturday 5 December 2015 | Saturday, December 05, 2015

Headlines za kocha wa Man United Louis van Gaal kuwa huenda taondoka klabu hapo zimekuwa zikichukua nafasi kila siku, kwani mashabiki wa timu hiyo hawana imani na uwezo wa kocha huyo tena, baadhi ya wachezaji wanahusishwa kuwa hawauelewi mfumo wa kocha huyo ukilinganisha na wakati ambao yupo Sir Alex Ferguson.

Stori za Van Gaal kuhusishwa kufukuzwa kazi zimekuwa zikiandikwa ila December 5 kabla ya mchezo kati ya Man United dhidi ya West Ham United Louis van Gaal katoa majibu ya kuhusu hatma yake ndani ya Man United. Van Gaal yupo radhi kuondoka Man United endapo tu wachezaji wataamua aondoke.


 “Mimi ndiye kocha wa kwanza ambaye huwa naachia ngazi na hilo linathibitisha kupitia klabu nilizofundisha pia kazi nilizozifanya, sidhani kama kuna kocha yeyote ambaye huwa anaondoka mwenyewe tu au sababu ya pesa, ila mimi nipo hivyo”>>> Van Gaal.

 
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi