 |
| . |
KOCHA
Msaidizi wa Chelsea, Steve Holland amesema kwamba bao gumu la
kusawazisha la timu yake jana lisingekubaliwa japokuwa lilikuwa halali.
Samuel
Eto’o alimvizia kipa wa Cardiff, David Marshall anadunda mpira akauwahi
kuondoka nao kabla ya kumpasia Eden Hazard aliyefunga bao la
kusawazisha na mwishoni Chelsea ikishinda 4-1.
 |
| . |
Na
baada ya The Blues kushinda 4-1, Holland akasema: "Samuel alikuwa
begani kwa kipa, nafikiri kipa alikuwa makini kwamba (Eto'o) alikuwepo
pale. Akadunga mpira na ukiwa hewani ndipo Samuel akaupiga kuzalisha bao
la kusawazisha.
"Refa — kama ambavyo nimefanya — alikuwa anamtazamo mzuri na nina uhakika yuko makini na sheria,"aliongeza.
 |
| . |
 |
| . |
 |
| . |
 |
| . |
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!