Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » MAMBO YA AJABU ANAYO YAFANYA MWENZANGU CHID BENZ YANATOKANA NA UTUMIAJI WA MADAWA YAKULEVYA:Ney

MAMBO YA AJABU ANAYO YAFANYA MWENZANGU CHID BENZ YANATOKANA NA UTUMIAJI WA MADAWA YAKULEVYA:Ney

Written By Unknown on Sunday, 20 October 2013 | Sunday, October 20, 2013



Amebananishwa Msanii anayefanya poa kwa ngoma yake ya Salamu zao na muziki gani "Nay wa Mitego" kumzungumzia Chid Beenz ambapo Nay aliamua kufunguka kwamba yeye ni Mmoja kati ya waliokuwa Mashabiki wakubwa sana wa Muziki wa Chid Beenz ila alimpoteza tu pale alipoanza kufanya mambo za ajabu ajabu ambazo kama ni Mtata utakuwa umegundua kuwa Kutoboa pua ni maja kati ya maajab ya Chid kwa Nay.
Nay anaamini kuwa mambo ya ajabu anayoyafanya Chid anashawishiwa na kutumwa na Madawa pamoja na Pombe zake na ndiyo maana pia anagombana na watu ovyo ovyo.




Kwa upande wa Vitu anavyovipenda hadi leo kwa Chid Beenz ni Flow yake na anavyoitune Sauti yake hapo ndipo Ney anaposema kuwa hata sauti yake inatokana kic kidogo na Sauti ya Chid kwani alikuwa anatamani kuwa kama Chid Kitambo hicho.


Ushauri wake ndo ukafikia hapo kuwa Chid aache Madawakama alivyoahidi kuwa anaacha na kusema kuwa kama angekuwa ameacha tungeona amebadilika.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi