Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » TP MAZEMBE YATINGA FAINALI YA MICHUANO YA SHIRIKISHO LA SOKA AFRIKA

TP MAZEMBE YATINGA FAINALI YA MICHUANO YA SHIRIKISHO LA SOKA AFRIKA

Written By Unknown on Sunday, 20 October 2013 | Sunday, October 20, 2013

BAO pekee la Tressor Mputu dakika ya saba, limeipa ushindi wa 1-0 Tout Puissant Mazembe dhidi ya Stade Malien ya Mali katika Nusu Fainali ya pili ya 
Kombe la Shirikisho la Soka Afrika Uwanja wa Mazembe mjini Lubumbashi jana. Matokeo hayo yanaifanya Mazembe yenye washambuliaji wawili Watanzania,
Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu itinge fainali ya michuano hiyo. Hata hivyo, bado haijajulikana Mazembe itacheza na nani katika fainali kutokana na Bizertin na CS Sfaxien zote za Tunisia kutoka tena sare ya bila kufungana jana na sasa zitarudiana tena leo.
Katika mchezo wa kwanza, Mazembe iliifunga Malien mabao 2-1 mjini Bamako.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi