Utakuwa umewahi kusikia kuhusu mchezo wa watu wasiojulikana kufungua account hasa za facebook kwa majina ya watu maarufu na kuomba pesa kwa watu tofauti, huu ni sehemu ya ushahidi wa kitendo hicho ambapo jina la muigizaji Jackline Wolper limetumika kuomba pesa ndogo tu Tsh 20,000.
Hii ni picha ya maongezi kati ya mtu aliyetumia jina la Wolper
akiomba pesa kwa watu tofauti ambapo Wolper mwenyewe anasema hatumii
hili jina zaidi ya Wolper Gambe Real, so kuwa makini na meseji zote
unazopata kwenye mitandao ya kijamii.
. |
. |
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!