Ni
siku kadhaa toka alipozungumza kwenye gazeti la Vibe Tanzania kwa kusema mapenzi yake na mcheza kikapu
Hasheem Thabeet yalidumu kwa zaidi ya miaka miwili na ya Diamond
hayakuchukua miezi hata miwili na kwamba kwa sasa ameamua kuwa single
kitu ambacho kinamfanya awe huru pia kufanya kazi zake ikiwemo uigizaji
wa movie aliouanza.
Jokate aliiambia millardayo.com badae kwamba ameanza kucheza movie na mwigizaji staa wa Tanzania, JB ambae ni mshindi wa tuzo ya mwigizaji bora wa kiume kwenye tuzo za Steps 2013.
Jokate aliiambia millardayo.com badae kwamba ameanza kucheza movie na mwigizaji staa wa Tanzania, JB ambae ni mshindi wa tuzo ya mwigizaji bora wa kiume kwenye tuzo za Steps 2013.
Movie inaitwa Mikono Salama ambapo ndani yake kuna mastaa wengine kama Rich Rich, Irene Uwoya na Kuambiana.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!