Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » MTANDAO WA YOUTUBE WAMPA UMAARUFU WA JUU EMINEM NAKUMPA TUZO YA MSANII WA MWAKA KWENYE TUZO ZAO

MTANDAO WA YOUTUBE WAMPA UMAARUFU WA JUU EMINEM NAKUMPA TUZO YA MSANII WA MWAKA KWENYE TUZO ZAO

Written By Unknown on Friday, 8 November 2013 | Friday, November 08, 2013

Jumanne ya tarehe 5 ndo siku album ya nane ya rapper Eminem The Marshall Mathers LP 2 inatoka, tayari rapper huyu amechukua tuzo ya msanii wa mwaka kutoka YouTube.

Kwenye tuzo hizi za kwanza za YouTube Music Eminem amewafunika wasanii kama Justin Bieber, Rihanna, Nicki Minaj, Katy Perry, Taylor Swift, Psy, One Direction na Macklemore & Ryan Lewis.Tuzo hizi zimeonyeshwa moja kwa moja kupitia account ya Youtube nakuonyesha show zilizo fanywa na wasanii kama Em, Tyler, The Creator, Earl Sweatshirt, Lady Gaga, Arcade Fire na Eminem aliyeimba Rap God.

Washindi wengine kwenye tuzo hizi ni Macklemore & Ryan Lewis aliyeshinda YouTube Breakthrough, Taylor Swift ameshinda YouTube Phenomenon,  DeStorm ameshinda Innovation of the Year na Girls’ Generation wameshinda Video of the Year.

horodha kamili hiyi hapa:

Video of the Year:
Epic Rap Battles of History – “Barack Obama vs Mitt Romney”
Demi Lovato – “Heart Attack”
Girls’ Generation – “I Got a Boy” (winner)
Justin Bieber (feat. Nicki Minaj) – “Beauty and a Beat”
Lady Gaga – “Applause”
Macklemore & Ryan Lewis (feat. Mary Lambert) – “Same Love”
Miley Cyrus – “We Can’t Stop”
One Direction – “Best Song Ever”
PSY – “Gentleman”
Selena Gomez – “Come & Get It”

Artist of the Year:
Eminem (winner)
Epic Rap Battles
Justin Bieber
Katy Perry
Macklemore & Ryan Lewis
Nicki Minaj
One Direction
PSY
Rihanna
Taylor Swift

Response of the Year:
Boyce Avenue (feat. Fifth Harmony) – “Mirrors
Jayesslee – “Gangnam Style”
Lindsey Stirling and Pentatonix – “Radioactive” (winner)
ThePianoGuys – “Titanium / Pavane”
Walk Off the Earth (feat. KRNFX) – “I Knew You Were Trouble”

YouTube Phenomenon:
“Diamonds”
“Gangnam Style”
“Harlem Shake”
“I Knew You Were Trouble” (winner)
“Thrift Shop”

YouTube Breakthrough:
Kendrick Lamar
Macklemore & Ryan Lewis (winner)
Naughty Boy
Passenger
Rudimental

Innovation of the Year:
Anamanaguchi – “ENDLESS FANTASY”
Atoms for Peace – “Ingenue”
Bat for Lashes – “Lilies”
DeStorm – “See Me Standing” (winner)
Toro y Moi – “Say That”
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi