Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » GHETTO RADIO YA KENYA YAFUNGA KUTOPIGA NYIMBO ZA R-KELLY

GHETTO RADIO YA KENYA YAFUNGA KUTOPIGA NYIMBO ZA R-KELLY

Written By Unknown on Monday, 23 December 2013 | Monday, December 23, 2013

Ghetto Radio ya nchini Kenya imechukua uamuzi  wa kusitisha kupiga nyimbo zote za mfalme wa R&B duniani R.Kelly licha ya kuwa na album mpya inayotikisa ‘The Black Panties’.
December 21, radio hiyo iliandika kwenye tovuti kuhusu kuacha kupiga nyimbo za R. Kelly na kwamba uamuzi huo unatokana na radio hiyo kuwa katika theme inayolenga kuwatetea wanawake, hivyo imeona sio vyema kumsapoti R.Kelly kwa kuwa aliwahi kuwa na kesi ya kumnyanyasa kijinsia msichana mwenye umri  wa chini ya miaka 18, mwaka 2008.
Ingawa R.Kelly aliyamaliza na mahakama za Marekani, bado Ghetto Radio wanadhani ana kesi ya kujibu kwa namna ambavyo mashitka hayo yalifunguliwa, hivyo anapaswa kujisafisha.
Hivi ndivyo yanavyosomeka maandishi yanayopiga marufuku upigwaji wa nyimbo za R.Kelly:
Every year Ghetto Radio holds its annual serious request with a theme that is community based. This year marked the year of the ladies where we had to give it all to our lovely women.
With that in mind Ghetto Radio banned all the songs by award winning singer R.Kelly who has been accused of getting off with sexual assault of underage teens.
His song will be off rotation till he clears his name.
In 2008, R Kelly was acquitted of a string of child pornography charges. While Kelly has settled multiple cases alleging sexual abuse out of court, Ghetto Radio seems angry that he's never been criminally charged with anything but making child pornography.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi