Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » KAMA HAUKUBAHATIKA KUSOMA ALICHO KISEMA BOB JUNIOR KUHUSU KUVUNJIKA KWA NDOWA YAKE,BASI NDO HIKI HAPA

KAMA HAUKUBAHATIKA KUSOMA ALICHO KISEMA BOB JUNIOR KUHUSU KUVUNJIKA KWA NDOWA YAKE,BASI NDO HIKI HAPA

Written By Unknown on Monday, 23 December 2013 | Monday, December 23, 2013

Mwanamuziki Bob Juniour wa Tanzania amesema hakuwa na raha katika ndoa yake na ndio maana akaamua kuachana na mkewe.Bob Junior zaidi ameweka wazi kuwa ugumu huo wa ndoa umemfanya asifikirie kuoa tena maishani mwake.Aidha mwanamuziki huyo amesema tofauti ipo kubwa unapokuwa katika mahusiano ya kabla ndoa na ukishaingia katika ndoa.

Bob Juniour amekiri kuwa ndoa yake ilikuwa ikirudisha nyuma maendeleo ya kazi yake ambayo inahitaji ubunifu na utulivu.Mwanamuziki huyo ameongeza kuwa mkewe alikuwa na wivu kiasi cha kuingilia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii kuwatusi watu aliokuwa akiongea nao.
Matamshi ya Bob Juniour yanakuja wiki kadha baada ya majarida nchini Tanzania kumwandama kuhusiana nay eye kutengana na mkewe wiki kadha zilizopita.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi