Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » SHERIA YA MTOTO UMOJA KWENYE NDOWA IMEPITISHWA NA BUNGE LA CHINA

SHERIA YA MTOTO UMOJA KWENYE NDOWA IMEPITISHWA NA BUNGE LA CHINA

Written By Unknown on Sunday, 29 December 2013 | Sunday, December 29, 2013

Bunge la china limepitisha maazimio ya kurahisisha sera ya mtoto mmoja kwa mujibu wa televisheni ya taifa hilo.

Maazimio haya yanapishana na yale ya Kamati ya Kudumu ya NPC nchini humo ambayo ilipitisha azimio la kuruhusu wanandoa kuwa na watoto wawili.
Mabadiliko katika sera yalitangazwa kufuatia mkutano wa viongozi wa juu wa Chama cha Kikomunisti mwezi Novemba.
Mabadiliko hayo ambayo yamejiri mwishoni mwa mkutano wa siku sita wa chama cha Congress yamekwishafanyiwa majaribio katika baadhi ya maeneno nchini humo.
Ilihitajika idhini rasmi kisheria ili kutekelezwa.
China ilianzisha sera yake ya mtoto mmoja mwishoni mwa miaka ya 1970 na kukabiliana na ongezeko la haraka la idadi ya watu.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi