Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , » HATIMAYE 50 CENT NA FAT JOE WAKAA KWENYE WIMBO MMOJA

HATIMAYE 50 CENT NA FAT JOE WAKAA KWENYE WIMBO MMOJA

Written By Unknown on Wednesday, 22 January 2014 | Wednesday, January 22, 2014

Ikiwa ni mwaka mmoja na miezi kadhaa imepita baada ya kingozi wa G-Unit  50 Cent na kiongozi wa Terror Squad, Fat Joe kutangaza rasmi kumaliza beef lao lililodumu kwa kipindi kirefu na kumtaja marehemu Chris Light kuwa chanzo cha wao kuzika beef hilo, wawili hao wamekutanishwa kwa mara ya kwanza kwenye wimbo mmoja na Dj Kay Slay ‘Free Again’.
Katika ngoma hiyo, 50 Cent ameitumia nafasi hiyo kumchana hasimu wake Kanye West tena kwa kumtaja jina.
Cocaine, Medellin/ Codeine, better lean/ The f**k outta my way, riding bricks down the highway/ It's an anthem when I rant, f**k you think I am, Kanye?/ I had them wearin' vestses, now these ni**as wear dresses."
Katika baadhi ya matamasha, Kanye West amekuwa akivaa kinguo ki-skirt chenye material ya ‘leather’ juu ya suruali yake.
September 2012, baada ya kifo cha aliyewahi kuwa manager wao kwa wakati tofauti ‘Chris Light’, wawili hao walimaliza beef lao na kutangaza kuwa washikaji wa kawaida huku wakiwafanya mashabiki wao kuwa na kiu ya kusikiliza wimbo wao wa pamoja siku moja.
Sasa kiu ya mashabiki hao imepata maji, usikilize hapa wimbo wa Dj Kay Slay aliowashirikisha wakali hao, wimbo huu “Free Again” umetayarishwa na Street Runner.
Kwa undani wa habari hii, usikose kusikiliza kipindi cha Trending Africa na Raheem Da Prince, na kipindi The Jump Off na Saleh Jabir kupitia 100.5 Times Fm. Unaweza kusikiliza Online kupitia tovuti hii, bofya sehemu iliyoandikwa 'Listen'
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi