Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » SOMA ALICHO KIANDIKA MWANAMUZIKI HUYU WA BURUNDI (SAT-B) KUHUSIANA NA MWAKA HUU WA 2014

SOMA ALICHO KIANDIKA MWANAMUZIKI HUYU WA BURUNDI (SAT-B) KUHUSIANA NA MWAKA HUU WA 2014

Written By Unknown on Thursday, 23 January 2014 | Thursday, January 23, 2014

Baada yakufanya powa kwenye game la muziki wa Burundi mwanamuziki anaezidi kujijengea jina kutokana na umahiri wake wakuandika nyimbo za maana na zenye kuimbika na pia zenye kufunza kwa mambo tafauti.
Sat B mwaka uliyo pita wa 2013 ni mwaka ambao hatoweza kuusema vibaya kutokana na mafaanikio aliyo jipatia mwaka huwo.
Aboubakar Karume a.k.a Sat-b
Moja ya mafaanikio hayo ni kwanza kutoka hapa nchini nakuelekea huko nchini Uganda kukutana na wale wa kali wa muziki ambao tuna wazoea kuwaona kwenye mitandao na kwenye viona mbali.
Sat B alipiga tambo kubwa nakufanya kazi na Producer mwenye jina Africa ya mashariki namzungumzia producer Washingtin kutoka Uganda anae tengeneza ngoma za wakali wa Uganda na Rwanda.
Mwaka huyo wa 2014 haukuwa tu wakukutana na hao wakali bali mwanamuziki huyu aliweza kusaini mkataba mnono na Kampuni yenye uwezo mkubwa yakutengeneza vinywaji ya Brarudi kama muwakilishi wao ama ambassador.
Katika vitu ambavyo vilifanya watu waanze kumzungumzia mengi nihicho cha kuingia dili na kampuni hiyo.
Sat B mwaka huo uliyo malizika aliweza kuviteka vyombo vya habari nikimaanisha ma redio,televisheni na mitandao ya Habari kwa kutowa bonge la track lililo kwenda kwa jina la "Nyanzobe".
Baadhi ya wengi walizungumza mengi kuhusiana na hit hiyo huku wakisema mwanamuziki huyu atakuja kuishangaza dunia hapo baadae kwa vile nyota yake inavyozidi kungara kila panapo kucha.
Sat B hakuishia hapo,aliweza kuwakubalisha watu kuwa yeye si mkali wa kuimba nyoimbo za mapenzi na zenye kufunza jamii kwa hali tafauti bali anauwezo wakuchana yani rap.
Sat B mwishoni mwishoni mwa mwaka huyo uliyo pita aliweza kutowa bonge la track lenye style yaku rap huku kukielezwa mengi kuhusiana na rap hiyo na vile kulikuwa na maneno ambayo yalikuwa yakimlenga mtu kwa namna moja ama nyingine,japo hadi sasa haijabainika bayana kuwa ni nani mlengwa ila kwenye track hiyo kuliweza kusikika maneno yasemayo..."Si lazima nifanye na wewe colabo ndo nisikike"
 Mwaka huu wa 2014 watu wengi bado wanasubiri ni kipi tena mkali huyo anatarajia kufanya ila mwenyewe ameweka wazi kwenye post aliyo i post kwenye mtandao wa whatsapp kwenye group ya www.ismailniyonkuru.info kuwa baada ya zile hit mbili kali Free style na Nyanzobe basi ameingia dili na Producer Lyzer Classic producer anae kinukisha vibaya kwenye uandaaji wa muziki hapa nchini. 















TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi