Tukiacha majina ya wale wa Star wawili ambao kwa sasa wanazungumzwa sana kutokana na bifu yao nakuzungumzwa pande zote za mjii mkuu Bujumbura nawazungumzia LOLILO na Big Farious basi lingine linalo tajwa nakukithiri zaidi kwenye midomo ya raia wa mjii mkuu Bujumbura ni hili hapa linalo husiana na match ambayo inasubiriwa kwa hamu kubwa.
Ukiuliza nini ambacho kimekaa midomoni mwa watu basi utaambiwa Burundi na Congo popote pale utakapo papita hapa mjii mkuu Bujumbura.
Burundi ni moja mwa nchi ndogo inayo pakana mpaka na nchi ya jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo.Burundi inachangia ziwa Tanganyika na nchi ya Drc,Tanzania na Zambia.
Mjii mkuu Bujumbura umegawanyika ki tarafa kuna bahadhi ya tarafa ambazo unakuta zina Wacongomani wengi mfano kama Bwiza,Kamenge kaskazini mwa mjii mkuu Bujumbura na Buyenzi ni sehemu ambazo zimewajaza Wacongomani wengi sana.
Usiku wa leo kule Polokwane kutawaka moto huku ikiwa ni match yavunja ubishi ambao umekaa kila pande kwenye magenge tafauti ya kahawa na kwenye makundi ya vijana.
Wenye uwezo wakupinga walianza kupinga na hadi sasa wanazidi kuendelea kupinga.
Kila mtu amejiandaa kivyake vile atakavyo sheherekea furaha pindi timu yake itashinda nyingine.
Swali kuu ni hili je,Congo ikiiraruwa Burundi na haya maandalizi yote wanayo zidi jiandaa wakununuwa vinywaji wamenunuwa wakupinga wamepinga sasa kesho itakuwaje?
Jibu ni hiyo saa moja kamili ambapo ndo muda wa match utakao anzia ila naimani saa 3 usiku mshindi atakuwa amesha patikana.
Ukiuliza nini ambacho kimekaa midomoni mwa watu basi utaambiwa Burundi na Congo popote pale utakapo papita hapa mjii mkuu Bujumbura.
Burundi ni moja mwa nchi ndogo inayo pakana mpaka na nchi ya jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo.Burundi inachangia ziwa Tanganyika na nchi ya Drc,Tanzania na Zambia.
Mjii mkuu Bujumbura umegawanyika ki tarafa kuna bahadhi ya tarafa ambazo unakuta zina Wacongomani wengi mfano kama Bwiza,Kamenge kaskazini mwa mjii mkuu Bujumbura na Buyenzi ni sehemu ambazo zimewajaza Wacongomani wengi sana.
Baadhi ya Raia wa Congo na Burundi waishiwo huko Africa ya kusini |
Wenye uwezo wakupinga walianza kupinga na hadi sasa wanazidi kuendelea kupinga.
Kila mtu amejiandaa kivyake vile atakavyo sheherekea furaha pindi timu yake itashinda nyingine.
Swali kuu ni hili je,Congo ikiiraruwa Burundi na haya maandalizi yote wanayo zidi jiandaa wakununuwa vinywaji wamenunuwa wakupinga wamepinga sasa kesho itakuwaje?
Jibu ni hiyo saa moja kamili ambapo ndo muda wa match utakao anzia ila naimani saa 3 usiku mshindi atakuwa amesha patikana.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!