Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , » HATIMAYE MWANAMUZIKI MAARUFU LOLILO KUTOKA BURUNDI AMJIBU MWANAMUZIKI SAT-B HUKU AKITUMIA KAULI YAKUMZARAU

HATIMAYE MWANAMUZIKI MAARUFU LOLILO KUTOKA BURUNDI AMJIBU MWANAMUZIKI SAT-B HUKU AKITUMIA KAULI YAKUMZARAU

Written By Unknown on Wednesday, 29 January 2014 | Wednesday, January 29, 2014

Baada ya mgogoro wa wale wakali kutoka kwenye muziki wa Burundi kushika kasi nakuzungumziwa zaidi huku majina yao kugeuka kama wimbo wa taifa midomoni mwa baadhi ya raia kutoka hapa nchini huku mgogoro huwo ukipiga kasi zaidi baada ya wawili hawa kukutana macho kwa macho kwenye meza moja nakuzuwa makubwa zaidi ambapo Mwanamuziki Niyonzima Salum Nassor alimaarufu kama Lolilo alionekana kuwa mwenye jazba kubwa kwa mwenzie Mugani Desire alimaarufu kama Burundiano.
Lolilo ndani ya Studio za Rema fm akiwa ndani ya kipindi cha Changamka Show na Mh Ismail Niyonkuru
Lolilo alionekana kupigwa madongo na baadhi ya raia ambao waliweza kufatili kipindi hicho mwanzo wacho na hadi alipo ingia mwanamuziki huyu kwenye studio za Rema
Baadae mkali huyu aliweza kupigwa madongo na baadhi ya wananchi bila kuwasahau wanamuziki ambao waliokuwa wakisikiliza kipindi hicho Lolilo alishtumiwa kutumia jazba huku akisahau kuwa yuko Redioni nakuanza kutowa maneno kwa ukali zaidi.
Siku chache baada ya vuguvugu hilo kuwa limepunguwa alionekana kutetwa mwanamuziki huyu na wenzie wanamuziki huku wengi wao wakimteta kwa ubaya.
Lolilo siku alipo dondosha machozi kwenye kipindi baada ya uchungu kumzidi
Fununu za kuwa mwanamuziki huyu aliweza kusengenywa na wenzie wanamuziki ziliweza kudhihirika pale ambapo mwanamuziki mmoja maarufu ajulikanae kama Abubakar Karume alimaarufu kama Sat-b alipo weza kutowa maneno mazito ambayo kwa asilimia(99 %) aliyaelekeza kwa mwanamuziki huyu huku ikifahamika vyema kuwa mwanamuziki huyu(Lolilo na Sat-b)hawajawahi kuingia kwenye mgogora wowote na kilicho fahamika zaidi wawili hawa ni watu mwenye uhusiano mzuri.
Maswali kadhaa yalianza kuvunja vichwa vya watu kutaka kujuwa ni lipi kosa ambalo Mwanamuziki huyu(Lolilo) alilo wahi mkosea mwanamuziki Sat-b hadi kuamuwa kumpaka kwenye mtandao wa Facebook huku watu wengi walikuwa wakihisi kuwa Sat-b angeweza kumzungumzia vibaya Burundiano kutokana wao ilikuwa inafahamika wazi kuwa waliwahi kuwa kwenye mgogoro japo hivi karibuni kumekuwa na taarifa za kuwa wawili hao(Sat-b na Burundiano)wameweza kuwa na uhusiano mzuri
Alicho kiandika Sat-b akimchana Lolilo kwa Facebook
Baada ya mwanamuziki Sat-b kumchana hadharani mwanamuziki mwenzie Lolilo ambae ameonekana kuwa kama yatima ambae hana pakuegemea kutokana na baadhi ya watu kutoka kwenye jamii ya warundi kuwa kama wanamsusa mkali huyu nakuonekana maswala ya ubaguzi kwake kama mwenyewe alivyo sikika kwa swali alilo uliza "kwanini nabaguliwa"


Admi wa mtandao huyu wa www.ismailniyonkuru.info alaasiri ya tarehe 27 kwenye mida ya saa tisa na dakika 53' aliweza kupokea simu ya mwanamuziki huyu Lolilo akimuuliza kwa kitu ambacho amepata kupitia raia wake yani ma fans wake kuwa wamemwambia kwamba (Adm)alisoma kitu ambacho Sat-b kamchana kutoka facebook kutokana na yeye hakuweza kubahatika kusikiliza kipindi cha siku hiyo.
Adm wa mtandao huyu aliweza kumjibu mwanamuziki huyu kuwa hana muda wakumjibu anacho muuliza kwa njia ya simu kutokana na kazi zilizo kuwa zikimkabili huku akimuomba mkali huyu aende kwa mtandao kujihakikishia mwenyewe.
Lolilo aliongea kwa sauti ya unyonge na kwautulivu akisema Baba Ismail kama vile anavyo penda kumuita "acha waendeleye kunichafuwa waendeleye kunitungia nyimbo waendeleye kunisengenya mimi Baba sintawajibu wala simjibu hata umoja,ila Sat-b anataka nini kwangu mbona mimi sina ubaya na yeye anataka nini kiukwelii"huku akimalizia akisema kuwa"sina muda wakujibizana nao niko namuda wakutafuta maharage ya Loliane na Rahma wangu" alisema Lolilo kwa njia ya simu,(Rahma ambae ni mtoto wake na Loliane ambae ni mke wake).
Mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru pamoja na Lolilo

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi