Usiku wakuamkia juzi ndipo mwanamuziki Nassibu Abdul Djuma alimaarufu kama Diamond ambae ni Rais wa WCB ameweza kuwakonga nyoyo wa kenya ambao walikuwa wakimsubiria kwa hamu kubwa jijini Nairobi,kwenye show hiyo inasemekana kuwa wakenya wote waliyo kuwepo kumshuhudia waliweza kumvulia kofia mkali huyu wa my number rmx ngololo skelewu kwa burudani kubwa aliyo itowa.
Fahamu kuwa Diamond aligonga show hiyo akiwa chini ya mwaliko wa kampuni kubwa yenye mkwanja mrefu ya Safaricom ya nchini Kenya kwenye ule mpango wao wakutowa tuzo uliwo pewa jina la DOYA AWARD yani(Dealer of the Year awards).
Kwa mujibu wa maneno yake aliyo yaachia kwenye mtandao mkali huyu aliweza kusema kuwa yeye ndo kwa mara ya kwanza yake kualikwa kutumbwiza mjini Nairobi.
Diamond aliweza kuwashukuru zaidi raia wa jijini Nairobi walivyo mpokea na kumpa heshima kubwa kuzidi wasanii wengine wote walio kuwepo hapo.
Fahamu kuwa Kwenya tamasha hilo la heshma ambalo lililo kuwa linaandaliwa na kampuni hiyo ya mtandao ya sim za mkononi ya Safaricom palikuwepo wasanii kama Kidumu kutoka Burundi Bujumbura,kundi la sauti sol na wengine kibao.
Diamond na kundi nzima la WCB waliweza kuwaonesha wakenya kama muziki anao si wakuunga unga baada ya hao wasanii kumaliza na Diamond kupanda kwenye stage moja kubwa sana iliyo pewa designe ya nguvu ilikuwa kama mabadiliko fulani kwenye ukumbi huwo huku watu waheshma ambao walikuepo hapo walieweza kuwasahau wasanii wengine walio anza kwa burudani kali aliyo itowa kijana huyo huku wakienda sambamba na nyimbo zote alizo imba mwanamuziki huyo.
Diamond aliwasili mjini Nairobi magharibi ya Alhamisi ya tarehe 23 na kuweza kufanya mahojiana na televisheni kubwa kubwa za nchini humo huku akitowa mikakati ya hapo baadae.
Jivinjari kwa kuona picha zaidi za msafara mzima hadi za kwenye show:
Nassibu(DIAMOND) |

Akiwasili na mama yake na mlinzi wake |
Akishuka ndege na mkali Rommy Jones |
Akifanya mazowezi na Q-Boy pembeni kule |
Akiwa kwnye chumba cha Hotel aliyo fikia na sim yake akichati... |
Hotel yenyewe ndo hiyi hapaa duuuu |
Makamuzi yalipo anza huku Dj Rommy Jones kwa upande wa pili |
Akipanda kwenye stage second time |
Ahaaaa ameanza sasa mambo ya vidole kinywaniii umeshaelewaa....hapo |
Puuuuuu anaanguka ghaflaaa huku wakenya washangaaa kumbee...hai |
Amesha badilisha mavazi anarudi tena kwa stage |
Rommy Jones kwenye moja mbili akimwaya madini yake.... |
Platnums wakimnyangulia juu juu |
Watu wakipiga mayowee |
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!