Timu ya taifa ya Burundi ya Intamba mu Rugamba hii leo Jumapili january 12 inatarajiwa kutuwa Africa ya kusini baada ya kuondoka hiyo majuzi hapa nchini usiku wa manane.
Kumekuwa na habari nyingi hapa mjini kuwa timu yetu ya taifa inawezekana kujikuta pekeake bila mashabiki wakuwapa morali.
Ila hayo yameonekana kuwa ni mtazamo wa mtu mmoja baada ya kuonekana baadhi ya warundi wengi kwenda kutazama mechi za timu zingine.
Raia hawo wanasema kuwa watakuwa bega kwa bega na timu ya taifa kwa kuwapa morali.Imeonesha kuwa raia wa Burundi waishio huko Africa ya kusini wana mapenzi makubwa na timu ya taifa ambapo baadhi yao wamesha kuwa na mabendera ya Burundi.
Huku kukiwa na taarifa za chini kuwa kuna baadhi ya warundi wenye upendo wa dhati na timu ya taifa na wenye mikwanja mirefu wameanza kupinga na wacongomani waishiwo nchini humo huku kila mmoja akikokota baadhi yake wamoja wakidai kuwa sisi tutawafunga na wengine wakisema hamtatufunga.
Wote wakisaliya wakisema mkitufunga basi naweka gari langu na wewe weka gari lako.
Hiyo ndo hali ambayo sasa inaendelea huko Africa ya kusini fahamu zaidi kuwa Burundi wamo kundi moja na DRC,GABON na MAURITANIA.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!