Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , » SOMA KILE ALICHO JIBU MWANAMUZIKI IYANYA BAADA YA KUULIZWA KUHUSIANA NA GARI LAKE LA KWANZA

SOMA KILE ALICHO JIBU MWANAMUZIKI IYANYA BAADA YA KUULIZWA KUHUSIANA NA GARI LAKE LA KWANZA

Written By Unknown on Tuesday, 28 January 2014 | Tuesday, January 28, 2014

Alipoulizwa kwenye mahojiano na jarida la Yes juu ya gari lake la kwanza aina ya Rav4, Iyanya alisema…

“Ngoja nikwambie kitu, Mungu amenibariki na Range Rover ya 2010 na pia naendesha magari ya mwaka 2013 na 2014, ni baraka kwangu ila mimi sio kichaa sana wa magari. Bado nina Prado ambalo nimepewa hivi karibuni, bado pia nina kumbukumbu ya ile Rav 4 na natamani lingekuwepo kwenye gereji yangu ili niwe naliona kila siku.

Ngoja nisidanganye, ilifika kipindi nilihitaji kushuti video na nilikuwa sina hela. Ilikuwa ni Kukere. Nilitumia teksi kutembea mjini katika hali ya kuhakikisha video ya Kukere inatoka. Hivyo nilikuwa natumia taksi kila siku na watu walikuwa wakishangaa kuniona nimepanda gari zile ikiwa walijua ninaendesha Rav 4. Ilikuwa ni katika kuhakikisha watu wanaendelea kuniona kwenye tv na sio kunisahau”



TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi