Kama ilivyo zoweleka ukiwa karibu na mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru huwezi kukosa kumsikia akilalamika aidha unamkuta anachukizwa na kitendo kinacho iitwa ubaguzi.Mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru nimtangazaji asiependa ubaguzi ila leo ameonekana kufurahishwa zaidi kutokana na matamshi ambayo yametamkwa na mwanamuziki Issa Jamal Yoya alimaarufu kama Yoya kwenye kipindi cha Changamka Show anacho kiendesha mtangazaji huyo.
Kama kawaida yake kuwa na Exclusif habari kwenye kipindi chake aliweza kumtafuta mwnamuziki Yoya kujibu maswali ambayo yametokana na video yake mpya ya "Mot de passe" ambayo kwa sasa inatamba kwenye ma Tv hususani kupitia televisheni ya Rema Tv.
Yoya aliweza kujibu maswali kihekima na busara huku mkali huyo aliweza kuushangaza uma wa Warurundi ambao ulikuwa ukiitega sikio Redio Rema Fm baada yakumuomba mtangazaji Mh Ismail Niyonkuru ampe nafasi aweze kuchangia kuhusu track mpya ambayo kuanzia hasubuhi ya leo imeanza kukiharibu kiwanja huku kila mtu akiomba aweze kupata track hiyo ya "Kale katoto rmx" yakwake Rapa Dj Pro akiwa amepewa nguvu na mwanamuziki Sat-B bila kumbaguwa Nzeyimana Thomas alimaarufu kama Mkombozi.
Yoya |
Yoya alionekana kumpongeza zaidi rapa Dj Pro alipo sema hivi"Ismail ningetaka kuchangia kidogo kuhusiana na hii track ya katoto Rmx kusema kweli nimeipenda hii song,nimependa kwanza vile wameiongeza speed,nimependa choras,nimependa vile ma rapaz walivyo rap nimeipenda sana wimbo huyo uko powa sana" .
Baada ya Yoya kusikika akisema hayo simu kadhaa za raia walionekana kukisifia kitendo ambacho amemaliza kukifanya mwanamuziki huyo kwa kutowa pongezi kwa Rapa DJ Pro huku wengi wakikiita kitendi hicho ni chabusara.
Dakika chache baada ya Yoya kuisifia track hiyo,Rapa Dj Pro alionekana kuwa mwenye furaha lukuki rohoni mwake na ikaja kuonekana zaidi kuwa kitendo alicho kifanya mwenzie mwanamuziki kilimgusa ndipo na yeye bila kuchelewa akaangusha kitu hichi kwenye mtandao wa Facebook akimaanisha kuwa na furaha na maneno ya Issa Jamal alimaarufu kama Yoya.
Jaribu ukisome hapa chini kimya kimyaaa...wasaniii tupendane sikwambiana eti mnanuka vikwapa hii ni kazi na nyie wote ni warundi.Hongera saana baba Jamalii.
www.ismailniyonkuru.info inatowa nayo pia pongezi kwako fundisha na wengine wasaniii wa Burundi kuwa na busara kama wako
Jaribu ukisome hapa chini kimya kimyaaa...wasaniii tupendane sikwambiana eti mnanuka vikwapa hii ni kazi na nyie wote ni warundi.Hongera saana baba Jamalii.
www.ismailniyonkuru.info inatowa nayo pia pongezi kwako fundisha na wengine wasaniii wa Burundi kuwa na busara kama wako
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!