Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , » PRODUCER MAHIRI LIZZER CLASSIC KUTOKA NCHINI BURUNDI AWAITA WANAMUZIKI WOTE WA BURUNDI WANAO IMBIA KWENYE BEAT NA STYLE ZA WANAMUZIKI WENGINE NI VICHWA NGUMU

PRODUCER MAHIRI LIZZER CLASSIC KUTOKA NCHINI BURUNDI AWAITA WANAMUZIKI WOTE WA BURUNDI WANAO IMBIA KWENYE BEAT NA STYLE ZA WANAMUZIKI WENGINE NI VICHWA NGUMU

Written By Unknown on Tuesday, 18 February 2014 | Tuesday, February 18, 2014


Myaka vile inavyo zidi kwenda ndo vile mambo yanavyo zidi kwenda yanabadilika hapo mwanzo ilikuwa jambo la kawaida msanii kukuimbia wimbo wake hata kama haujatoka upo studio unaandaliwa.
Ila kwa sasa imekuwa tabu kwa mwanamuziki wa Burundi kukuimbia wimbo wake,unakuwa ukimwambia fulani ni shushiye mistari ya track yako ambayo tunaskia ipo studio jibu atakalo kupa atakwambia sitaki kuibiwa.
Hali hiyo haipo tuu mjini wala popote utakapo kutana na msanii ila hali hiyo amini usiamini imetoka kwa watu mjini imehamia hadi redioni unakuwa ukimwambia msanii mfano kwenye kipindi tushushie mistari ya hii track yako unataka kutowa jibu litakalo kuja hapo nikuwa:"samahani ndugu mtangazaji sitaki kuibiwa" hayo yakijumuishwa na kile alicho kisema rapa Dj Pro hivi karibuni kwenye kipindi cha Changamka show alipo ombwa na mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru aweze kuwachania hata kwa sekunde chache mistari ambayo imo kwenye track ya "Kale Katoto rmx" ila jibu alilo jibu na yeye pia alisema:"Ismail tafadhali naokopa kuibiwa" si yeye tuu Dj Pro hata beat ya track "Moto" ya kwake mtangazaji Eddy Kamoso wa REMA TV ilitengenezwa kwenye mazingira yaajabu yakuwa mtuu akivisha hodi kwenye studio za Buja Rec wanazima mziki au unaambiwa Lyzer hayupo kama unakuwa unamtafuta Lyzer.
Swala kwa sasa limeanza kuota mizizi nilile lakuwa wasanii wanaleta beat za wanamuziki wengine nakumshurutisha producer amtengenezee hiyo hiyo beat,na kutokana na hali yakimaisha ya sasa producer yuko tayari kuitengeneza beat ya Skelewu kwa mfano ilimradi apewe pesa hizo ili akidhi mahitaji yake.
Baada yakuanza kwa sakata la ukemeaji wanamuziki wenye hizo tabia,kumesikika baadhi ya wananchi,wadau na wanamuziki wakitowa yamoyoni wakiwalaumu ma producer wanao tengeneza beat hizo huku kidole cha lawama akikinyooshewa Producer Lyzer Classic wa studio ya Buja Rec eti yeye ndiye King wa kucopy beat za watu huku kukiwa na kauli yakuelekezana pale pote utakapo wakuta wakiwa kwenye ubishi utamsikia umoja akisema:"ukitaka hata beat ya Skelewu Lyzer anayo,ukitaka hata ya Chris Brown mtafute Lyzer akutwangie" kufwatia vuguvugu hilo la maneno ikamfanya mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru amsake Producer huyo kujibu madai hayo yakuwa eti yeye ndie anae wapangia wasaniii waweze kuimbia kwenye beat hizo aula ni wao ndo wanakuwa wanataka?

Producer Lyzer Classic kutoka Buja Record alionekana kuwalaani wale wote wanao mjengea fikra potovu kama hizo kuwa yeye ndie anae waambiwa wanamuziki waimbie kwenye beat hizo huku akisema yeye hufanya kazi yake kama producer anavyo stahili kufanya kazi na anazingatia na kuheshimu maamuzi ya mteja wake yani hapo akimaanisha mwanamuziki.
Zaidi ya hapo Lyzer aliweza kudungwa swali na mwnahabari Mh Ismail Niyonkuru kuwa yakwamba kama kuna ushauri wowote anaweza kuutowa kwa wanamuziki wenye tabia kama hizo,Producer Classic Lyzer alisikika kwa sauti ya ukakamavu huku akisema yakwamba ni kweli yeye kama Producer hashindwi kuwashauri wasaniii hao kuacha ku copy vya watu nakuwasihii zaidi kubuni vya kiburundi,akiendelea anazungumza Lyzer classic aliwaita wasaniii hao wanao copy kuwa ni vichwa ngumu yani watu wasio ambilika wala kusikia lamtu.


TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi