Ukiwa umetoka juwa umetoka
kivyako,ukiwa una hit au ume hit juwa kama unahit kivyako,ukiwa umetowa
song nzuri ujuwe yakwamba umeitowa kivyako.Hali hii ndo hali ambayo
inaashiria muziki wa kizazi kipya wa Burundi.ikiwa siku ina masaa 24 na
ina vipande vikubwa viwili yani usiku na mchana na vile kwa sasa kuna
wanao fanya kazi usiku na wengine mchana,basi sikiliza huyu mchapo Ukiwa
unafanya kazi mchana unaweza ukatandika mkeka ukaalika na watu mkaanza
kuuzungumzia muziki wa Burundi matatizo yanayo patikana ndanimo basi nakwambia ukweli utaenda kazini utafanya kazi zako na utarudi
utawakuta wale ulio waacha kwa ule mkeka wakitaja manyanga yako kwenye
huo muziki na yule anae fanya kazi usiku ataenda kazini
na atarudi atakuta usiku umewaingilia na utawakuchia bila kupata majibu
ya matatizo yanayo ukabili muziki wa Burundi.
Hakuna anae uhakika kuwa matatizo yanayo ukabili muziki wa Burundi kama ndo yanayo ukabili muziki wazingine nchi za dunia kwa Africa au tushike za karibu ambazo tunachangia ukanda wa Africa mashariki.Tukichukuwa mwanzo wa muziki huu hadi leo bado una manyanga.
Tumzungumzie kidogo kidumu,Kidumu ni mfano wa jeshi umoja kaenda kupambana na waadui kumi na mwishowe maaduwi hao akawashinda pindi alipo ondoka akaenda kupambana aliacha wanajeshi wenzie ila aliwaacha wachanga saana wengine hata walikuwa hawajazaliwa na kama walikuwa walishazaliwa ila walikuwa hawajawa na ndoto zakuwa watatokea kuwa wanamuziki na wenye walikuwa walishaanza kuwa na ndoto hizo hawakuwa na wapi wataanzia.
Kidumu fumba fumbuwa maisha yake yalionekana kuwa maisha ya nje ya Burundi na ikawa njia moja wapo yakuanza kutoka kidogo kidogo kimuziki.
Tuirushe kidogo kanda yetu...tufikirie hali ya sasa,Kidumu huyo amekuwa maarufu ila ukitizama kwa asilimia kubwa mwanamuziki huyo kwa mujibu wa baadhi ya wasanii na wadau wanasema kuwa wasanii ambao aliwo waacha kipindi kile anaondoka wanadai kuwa hana msaada kwao.
Tuache basi kuto wasaidia,basi kuwaunga mkono wao wanasema inatosha. mfano kidogo,Tukumbuke myezi ya nyuma kidogo mwanamuziki Kidumu aliwai kuandaa kitu kama award ambacho hakuna hata mmoja alikuwa na ndoto kama Kidumu angetokea kufanya kitu kama hicho cha busara ambacho kikapewa jina maalumu la Ten in one,Ten in one manaake ilikuja kwa maana ya ten ilikuwa ikimaanisha wasanii 10 na hiyo one ikimaanisha yeye Kidumu.
Fikra zilipo letwa za kitu kama hicho kwa wasani wa Burundi,wasanii wengi walihisi kama ndo njia moja wapo ya wao kutoka kimuziki lakini matarajio yao sio vile yalivyo tokea,kulianza kusikika fununu zakuwa Ten in One imo manyanga na fununu hizo zikizagaa kuwa alikuwa na mpango wake mwenyewe ambao hakuna aliekuwa anajuwa kile ambacho alikuwa anataka kufikia ila kwa kuwa Ten in One ilikuwa shindano lakumsaka msanii umoja kati ya hao 10 nakupewa Award yani Tuzo lakini mambo ya ndani ambayo yalikuwa yaliwekwa kama siri kuanza kuwa zairi kwamba Kidumu alikuwa na mpango wakumtowa kijana kutoka kaskazini anapo zaliwa yeye Kidumu ajulikanae kwa jina la Rally Joe.
Na vile vilivyo kuwa vikizungumzwa kabla yakutanagazwa mshindi baadae vilionekana kuwa vyakweli baada ya Rally Joe kweli kutangazwa kuwa ndie mshindi wa Ten in One kwa mara ya kwanza.
Ila raia wengi walionekana kukerwa na kitendo hicho huku wengi wakikiita kuwa ni cha ubaguzi.
Kwa kuwa eti mwanamuziki huyo Rally Joe alipewa tuzo hiyo ambayo ilikuwa haimstahili na kutaja kuwa aliekuwa anastahili tuzo hiyo ni mwanamuziki anae hit kwa sasa kwenye Redio na Television za nchini Burundi na kwenye mitandao ya habari ya nchini Burundi namzungumzia Issa Jamal Yoya mzaliwa wa mkoa wa Muyinga.
Inasemakana toka tarehe hiyo mwanamuziki Issa Jamal alimaarufu kama Yoya alionekana kutomuamini tena mwanamuziki Kidumu nakumuona kama sio muungwana kwa kuwa alishindwa kutumia udhalendo nakushindwa kuweka haki mezani nakuamsha maswala ya ubaguzi.
Mwanamuziki Yoya inasemekana alimuacha mbalii saana mwanamuziki Rally Joe kikura zakumtafuta mshindi wa Ten in One kwa mujibu wa wafwatiliaji wa muziki wa Burundi na ambao walifatilia kwa karibu shindano hilo,ila mwanamuziki Yoya alipigwa na butwaa baada yakusikia eti amepewa tuzo mtu mwengine kitu ambacho watu wengi kiliwaacha vinywa wazii.
Wasanii kadhaa wa Burundi wameonekana kuanza kukerwa na tabia za gwiji huyo huku ukijumuisha na kauli ambazo anazo penda kuzitumia za madharau kwa wasanii nchini Burundi,Kidumu anapo fanya mahojiano pindi anapo kuwa nchini Burundi huwezi kumsikia hata kwa neno moja akiwasifia wasanii wa Burundi ila anakauli anayo penda kuitumia kuwa muziki wa Burundi haujavuka boda eti bado ungali mchanga.
Kiumacho roho zaidi wafwatiliaji wa muziki wa Burundi na wanamuziki ni vile mwanamuziki huyo Kidumu yuko tayari kufanya kazi na mwanamuziki mchanga yani underground wa nchi nyingine ila wanamuziki wa Burundi anapo toka huwa anawambia bado wangali wachanga akijimuisha na vigezo ambavyo wachambuzi wanasema ni vilielezo visivyo na msingi eti wasanii wa Burundi wanaimbia kwa auto tune.
Hayo yalidhihirika pindi alipo mpiga teke mwanamuziki mwenye kipaji na sauti ya kipeke kutoka uswahilini ajulikanae kwa jina la Djuma Marembo alimaarufu kama Black G pale ambapo mwnaamuziki huyo alimuomba Colabo ila Kidumu inasemekana alitowa jibu ambalo wadadisi wa mambo wanasema kuwa ni lamadharau pale alipo mwambia kuwa ana sauti yakunyamanzisha watoto.Katika uchunguzi wetu tumegunduwa kuwa Kidumu alishawai kuimba na wanamuziki ambao ni ma underground ambao hata mwanamuziki Bidondo wa Burundi anawazidi Public.
Hakuna ambacho kimekuja kukera wanamuziki zaidi na baadhi ya wasanii kukipiga madongo nikile kitendo alicho kifanya mwanamuziki Kidumu chakumsifia mbele ya vyombo vya habari vya Rwanda mwanamuziki up comming ajulikanae kwa jina la The Ben kuwa anaweza na anakipaji cha muziki nakila kukicha Kidumu ashindwi kuwachana wasanii wa nchini Burundi kuwa hawajajuwa muziki.
Subiri nikupe story kidogo The Ben aliwai kutuwa nchini Burunsi kwenye Concert kipindi hicho ilikuwa mwaka wa 2009 pamoja na wasanii wengine wa Rwanda kama Ryder man,Miss Jojo pamoja na kundi lingine la kutoka huko huko Rwanda,na ukali wote ambao Kidumu ameonekana kumsifia msanii huyo ila mbele ya mwanamuziki Issa Jamal alionekana kuwa kama mwalimu na mwanafunzi ambapo kwa kiasi kikubwa alimfunika The ben kwenye stage hadi mwenyewe kutikisa kichwa akikubali kuwa anaweza.
Hivi majuzi Kidum alipo kuwa nchini Burundi kwenye tamasha la kusaidia raia walio kumbwa na mvuwa kali na asubuhi ya Ijuma tatu kualikwa na kwenye kipindi cha Changamka Show Kidumu aliweza kufunguka akisema kuwa wasanii wa Burundi bado wangali wanajitahidi tahidi wamoja wanaimbia kwenye ma auto tune wengine wanakimbizana na ma video huku akiyazungumza hayo akionekana akiyazungumza kwa madharau yasiyo nakifani,kishangazacho watu nikuwa wimbo ambao yeye mwenye ametangaza kuukubali kwenye vyombo vya habari vya Rwanda na kumtupia mauwa msanii The Ben kwamba anakipaji na anajuwa kuimba nakusema eti wimbo wa "I am in love" ni wimbo mzuri ila anasahau kuwa na wao pia umeimbwa kwenye auto tune.
Je,Kidum yuko sahihi aula?upande umoja anakebehi wasanii wa Burundi wanao imbia kwenye auto tune ila wa Rwanda anawakubali na wakati na wao pia wanaimbia kwenye auto tune.
Tutizame ubora wa wasanii wa Burundi.
Tarehe 01 za mwezi mai mwaka wa 2006 mwanamuziki Mugani Desire alimaarufu kama Big Fizzo aliweza kuteuliwa na rais wa nchi ya Burundi bwana Pierre Nkurunziza kama msanii aliye fanya kazi powa kipindi hicho.
Ila Kidumu hajawai fanya reaction moja yakupongezwa na rais wa nchi au mtu yeyote mashuhuri wa Burundi na yeye ndo gwiji wa muziki wa Burundi.
Kila kukicha nyimbo za wasanii wa Burundi hazishindwi kuvuka boda nakukubalika nchi zingine za ukandaa huu,mfano uliyo hai ni track "Bajou" ya Fizzo ilivyo hit Rwanda,acha hiyo Track "Nkarira" yakwake Lolilo na Diamond iliyo hit kwenye ukanda huu mpaka Diamond anamsifia Lolilo nakusema kuwa Burundi wanamsanii hodari kwenye mahojiano na Salama Jabir wa kipindi cha Mkasi cha EATV.
Ukitizama kwa sasa kumekuwa na hit song nyingi mfano ni Track "Mot de passe" na video yake ambayo kwa sasa inashika chati kwenye television za Burundi na kwenye top 10 za television tafauti mfano kwenye top 10 ya Rema Tv inashikilia nafasi ya kwanza kwa wiki takriban kama 3 huku video ya kwake Kidumu ya "Mungu anaweza" ikishika nafasi ya 3 nyuma ya hiyo video ya "Mot de passe"
Hizo zote ni kazi za wasaniii wa Burundi,ila Kidumu hajawai kusikika akisema chochote kama kuonesha ishara ya udhalendo na warundi wenzie.
Wafatiliaji kwa karibu muziki wa Burundi wasema kuwa
"Naimani yakwamba kama yeye alivyo sema kwenye kipindi cha Changamka Show na mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru kuwa huu ni wakati wakufanya kazi ila pia huu ni wakati wakuungana mkono kwa pamoja kupambana kwa kuusongesha mbele muziki wa Burundi kwa sababu kama yeye hakuwaunga mkono wasanii wa Burundi nani mwengine atawaunga mkono"
Mapema hii leo pindi habari hiyo ilipo wekwa kwenye mitandao ya habari ya Rwanda kuwa Kidumu alimsifia The Ben muda mchache baadae baadhi ya wasanii wa Burundi kushuhudia habari hiyo Mwanamuziki Issa Jamal Yoya ameonekana kutofurahishwa na matamshi ya Kidumu ila akisema anaheshimu maamuzi yake lakini hayajamfurahisha eti ukizingatia kuwa anajiita yeye ni mzalendo na kumsihi kuwa asisahau kwamba wao ndie ndugu zake,nakumalizia kuwa ameamini kama sasa Kidumu hawapi thamani wanamuziki wa Burund.
Hizi ndo baadhi ya nyimbo ambazo Kidumu alishawai kuzifanya na wasanii wa nje ya Burundi na wakahit kupitia tu jina lake.
Za RWANDA
-Mapenzi by Frack Joe ft Kidum
-East African show by Miss Jojo ft Kidumu
-Wapi ye by Massamba ft Kidumu
-Gatima kanjye by Kamishi ft Kidumu
-N'uko zubakwa by Erick Ft Kidumu
Za TANZANIA
-Relax by Peter Msechu ft Kidumu
-Linah ft Kidumu
Ila kwa Burundi colabo ya karibu tunakumbuka ya karibu ni hiyi ya yeye na Rally Joe colabo ambayo kutaka ifanyike kulipitwa mengi makubwa na huku ikaonekana colabo hiyo kutolewa kutokana na shinikizo la kampuni ya kutengeneza vinywaji ya nchini Burundi iitwayo Brarudi,colabo nyingine ni zile za zamani za yeye na akina Fizzo,Dr Claude tena kipindi hicho alifanya colabo na hao akina Fizzo na Dr Claude Kidumu alikuwa bado hajatoka.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!