Mwamuziki anae shikilia taji la mwanamuziki bora kutoka kwenye ukanda wa Africa mashariki kwenye tuzo za heshma barani Africa za Kora Music Award rai mwenye asili ya Burundi kutoka kaskazini mwa mjii mkuu Bujumbura tarafa ya Kinama akiwa pia ni mwanamuziki alie zaliwa kwenye maisha yakimasikini ambae kwa sasa anapiga fora na kuwaacha wasanii kibao njia panda kwa kipaji chake cha kuimba na kupiga vyombo vya muziki yani (Instument musical).
Mwanamuziki Jean Pierre Nimbona alimaarufu kama Kidumu ameshindwa kuziba ukimya wake nakuamuwa kutowa yake ya moyoni nakufunguka kuwa yeye na familia yake kwa ujumla wanamkubali zaidi muimbaji wa kizazi kipya mwenye asili ya Rwanda The ben.
Kwenye mahojiano na vyombo vya habari vya Rwanda nchini Ujerumani ambapo Kidumu alipo kwa sasa kikazi,Kidumu aliwabainishia wanahabari hao wa Rwanda kuwa toka yeye amfahamu The Ben alimpendea kwanza kwa sauti yake,pili akapenda vile mwanamuziki huyo anavyo litumia sauti hilo na bila kuficha chochote nakusema kuwa wanae waliikubali saana ngoma ya msanii huyo iitwayo "Am In Love" ngoma ambayo ili hit kwenye ukanda wa Africa mashariki hususani nchini Rwanda.
Inasemakana chanzo cha Kidumu kuyatamka hayo ilitokana na hiivi karibuni Baada ya mwanamuziki gwiji kushuhudia kwenye mtandao wa kijamii wa You tube video ya mwnamuziki The ben akiimba wimbo wake wa "Kumushaha" alipo kuwa kwenye concert moja aliyo ifanyia kwenye shule la OLD TOWN SCHOOL OF FALK MUSIC nchini Marekani kitu ambacho kilionekana kumgusa zaidi mwnamuziki Kidum.
Kidum alisema kuwa " The Ben anaimba vizuri saana nampenda tena ni mjuzi saana,cenye naweza kumwambia The ben aendelee kuzidisha bidii na kukuza kipaji chake,kiukweli nakwambia watu wengi tunampenda huyu mwanamuziki,hata nyumbani kwangu Kenya watoto wangu wanampenda saana hususani ile ngoma yake iitwayo i am in love watoto wangu waliipenda saana."
Kidum aliweza kufafanuwa kuwa nchini kenya mwanamuziki The Ben anakubalika sana na raia wa kenya na watoto wake toka mwaka wa 2012 alipo kuwa nje na hadi sasa bado wanaipenda track hiyo ya "I am in Love".
Mwanamuziki Kidum ambae yuko Ujerumani kwenye Tour yake ya Live band ambapo tayari amesha piga show kwenye miji tafauti na mwishoni mwa wiki hii anatarajia kuelekea Ubelgiji.
Kidumu alisema kuwa "Nipo kwenye tour hapa Ujerumani,tayari nimesha piga show kwenye miji ya Fanckfurt na ijumaa hii ntapiga show nyingine kwenye mjii wa Berlin na ijumamosi ntakuwa Munich na wiki ijayo ntakuwa ubelgiji"
Alipo kuwa akitumbwiza kwenye shule la OLD TOWN SCHOOL OF FALK MUSIC,mwanamuziki The Ben aliweza kuimba wimbo wa Kidum wa zamani wa "Kumushaha" na watu ambao walio kuwa wamekuja kuitikia show hiyo kuburudika zaidi na ndipo na yeye mwenyewe kumsifia Kidumu kwa kipaji cha kuimba alicho pewa na Mungu.
Kidumu alimalizia mahojiano akiwashukuru saana Wanyarwanda wanavyo zidi kumpa sapotii nakusema kuwa hafahamu ni lini atashuka rwanda kwa kuwapa burudani Wanyarwanda.
Kidum ambae kwa sasa ana album mbili mpya ambazo ndanimo kuna nyimbo kadhaa zakumsifia Mungu mfano kama "Nipe Nguvu" na zingine za kawaida kama "Hali na mali" na kwenye hii album mpya atajazia na nyimbo ambazo alizo shirikiana na wasanii wa Rwanda na wa Burundi

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!