Mshindi wa tuzo za Grammy, Alicia Keys amepata mchongo kwa
mara ya kwanza na kuiuza bidhaa ya urembo ambapo amesainiwa kuwa kisura
kwenye perfume ya Givenchy.
Kwa mujibu wa WWD, mwimbaji huyo ataanza kuonekana kwenye perfume hiyo kuanzia Setember mwaka huu.
Alicia Keys amewahi kupata mchongo wa ubalozi wa bidhaa za Reebok, BlackBerry na American Express.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!