Beki Martin Skrtel amesema uamuzi wake wa kumbeba
mkewe Barbora Lovasova kwenda kula raha kwenye pwani maarufu ya Miami, Marekani
imetokana na kuandamwa na mawazo ya kukosa ubingwa.
Skrtel amesema amekuwa hana amani kutokana na
Liverpool kukosa ubingwa katika hatua ya mwisho kabisa.
“Nimeamua kusahau, najua nahitaji muda lakini
vizuri kufanya mambo mengine kwanza ili nikianza msimu ujao nakuwa katika hali
nzuri kabisa,” alisema.
Mcheki hapa zaidi mkali Skrtel akilaa zake bata Miami na mkewe:
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!