Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » CARLOS TEVEZ ATEMWA KWENYE KIKOSI CHA TIMU YAKE YA TAIFA YA ARGENTINE.

CARLOS TEVEZ ATEMWA KWENYE KIKOSI CHA TIMU YAKE YA TAIFA YA ARGENTINE.

Written By Unknown on Wednesday, 14 May 2014 | Wednesday, May 14, 2014

Carlos Tevez ameachwa kwenye kikosi cha awali cha kocha  wa Argentina,  Alejandro Sabella kwa ajili ya kombe la dunia mwezi ujao nchini Brazil. Mshambuliaji huyo wa  Juventus licha ya kuonesha kiwango kizuri katika ligi ya Seria A, bado hajamshawishi Sabella kuingizwa katika kikosi cha timu ya taifa kinachojiandaa kwenda nchini Afrika kusini.
  Franco Di Santo, Rodrigo Palacio na nahodha Lionel Messi wataongoza safu ya ushambuliaji, wakati huo huo mchezaji anayecheza kwa mkopo, Atletico Madrid ,  Jose Sosa  ameitwa katika kikosi hicho.  
Kikos kizima hiki hapa:  
Walinda mlango: 
ergio Romero (Monaco*), Mariano Andujar (Catania*), Agustin Orionu (Boca)  
Walinzi: 
Ezequiel Garay (Benfica), Federico Fernandez (Napoli), Pablo Zabaleta (Manchester City), Marcos Rojo (Sporting), Jose Maria Basanta (Monterrey), Hugo Campagaro (Inter), Nicolas Otamendi (Atletico Mineiro*), Martin Demichelis (Manchester City), Gabriel Mercado (River), Lisandro Lopez (Getafe*)  
Viungo: 
Fernando Gago (Boca*), Lucas Biglia (Lazio), Javier Mascherano (Barcelona), Ever Banega (Newell’s*), Angel Di Maria (Real Madrid), Maximiliano Rodriguez (Newell’s), Ricardo Alvarez (Inter), Augusto Fernandez (Celta), Enzo Perez (Benfica), Jose Sosa (Atletico Madrid*), Fabian Rinaudo (Catania)  
Washambuliaji: 
Sergio Aguero (Manchester City), Lionel Messi (Barcelona), Gonzalo Higuain (Napoli), Ezequiel Lavezzi (Paris Saint-Germain), Rodrigo Palacio (Inter), Franco Di Santo (Werder Bremen)
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi