Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , » JE,ULISIKIA KILE ALICHO KISEMA MCHEKESHAJII MAARUFU MPOKI KUTOKA TANZANIA BAADA YAKUPEWA TAARIFA ZAKUFUNGULIWA MASHATAKA?

JE,ULISIKIA KILE ALICHO KISEMA MCHEKESHAJII MAARUFU MPOKI KUTOKA TANZANIA BAADA YAKUPEWA TAARIFA ZAKUFUNGULIWA MASHATAKA?

Written By Unknown on Wednesday, 14 May 2014 | Wednesday, May 14, 2014

Imeripotiwa kuwa baadhi ya mastaa wa Bongo waliopanda kwenye jukwaa la KTMA mwaka huu na kukutana na changamoto ya comments za ucheshi za Mpoki wameamua kumfungulia mashtaka kwa madai kuwa aliwadhalilisha.
Kwa mujibu wa gazeti moja maarufu la Kutoka Tanzaia la Ijumaa Wikienda chanzo chake kilieleza kuwa watu hao maarufu ni pamoja na Asha Baraka, Maimartha Jesse, Wema Sepetu, Asha Baraka, Maimarha Jesse, Wema Sepetu, Martin Kadinda na Vincet Kigosi Ray, Vannessa Mdee na Isha Mashauzi.
Imeelezwa kuwa wameamua kufanya hivyo kwa madai kuwa aliwadhalilisha.
Gazeti hilo limeeleza kuwa liliongea na Ray ambaye alisema kuna uwezekano wa kumshitaki kwa kuwa aliwadhalilisha, huku Mai akieleza kuwa alichokifanya Mpoki hakikuwa sahihi na kilikuwa kinyume cha sheria.  
Hata hivyo, Isha Mashauzi alikana kutaka kumshitaki Mpoki na kudai kuwa huenda wenzake wameamua kumshitaki lakini hawajamjulisha.
Gazeti hilo limeeleza kuwa Mpoki alipopigiwa simu alieleza kuwa hakumbuki chochote kilichotokea usiku ule.
“Kusema ukweli mimi sikumbuki chochote kile kilichotokea siku ile, we nitajie majina ya hao watu niwapigie halafu baadae ndio tutaongea.” Gazeti hilo linamkariri Mpoki.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi