Uamuzi wa wa Rais wa Tanzania bwana Jakaya Kikwete kumshusha huko nchini Tanzania mkali wa R&B
Duniani kutoka Marekani aitwae Usher Raymond na Terrence J ili kuendesha semina kuhusu Sanaa
ya muziki na filamu na mambo mengine umezua maswali mengine kichwani kwa
mtayarishaji wa muziki, Lucciano Tsere aka Lucci.
Kupitia Twitter, Lucci ameandika tweets zenye maswali kadhaa kwa mheshimiwa huyo ambae ni Rais wa Tanzania.
“Hongera kwako mheshimiwa rais Kikwete kwa juhudi unazofanya kwa ajili ya wasanii wa taifa letu, hata hivyo; nina walakini kidogo.”
“Ni kitu gani ambacho wasanii tumefanya kwa elimu tuliyoipata mara kwa mara kutoka katika taasisi zetu kama BASATA na COSOTA?”
“Kuna msemo ‘yule mwenye kuaminika kwa kidogo hudhaminiwa kikubwa’…Je, Mheshimiwa Jakaya Kikwete, tumekuwa waaminifu kwa kidogo?”
“Anyway, nisije nikapigwa mawe. Nina hakika na natumaini kipindi hiki tunaweza kutumia kile ambacho tanafundishwa na hawa wasanii wakubwa katika kiwanda cha muziki wanaokuja.”

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!