Timu ya taifa ya Algeria iliingia na kikosi chake cha wachezaji,timu hiyo ambayo ilikuwa ikihitaji tu kugawa au kufungaa kutaka isonge mbele kwenye mzunguuko wa wapili kwenye zile timu 16 bora.
Baada ya myaka 32 timu hiyo imerejesha tena matumaini kwa wa Algeria,zaidi ya Algeria kama timu ya Africa kuingia kwenye hizo timu 16 pia kuna timu ya Nigeria ambao wana jiita wa Super Eagles na wao pia wameingia kwenye mzunguuko huyo na ikitarajiwa kukutana na wale wakali wa Ulaya ambao ni Ufaransa moja mwa timu zenye kutisha zaidi kwenye kombe hili.
Fahamu kuwa Algeria imepita baada ya kutoka sare sare na Urussi ya moja moja.
Hivi ni vikosi vya timu zote mbil
Algeria: Mbolhi 7; Belkalem 6, Halliche 6, Mandi 6, Mesbah 6; Medjani 6.5,
Bentaleb 6.5, Feghouli 6.5, Brahimi 7.5 (Yebda 71), Djabou 6; Slimani 7
Subs not used: Si Mohammed (GK), Zemmamouche (GK), Bouguerra, Ghoulam, Lacen, Ghilas,
Soudani, Cadamuro, Taider, Mahrez, Mostefa
Booked: Mesbah
Referee: Cuneyt Cakir (Turkey) - 6
Man of the match: Brahimi
Russia: Akinfeev 6; Kozlov 6, Ignashevich 6.5, Berezutskiy 6, Kombarov 6;
Samedov 6, Glushakov 6 (Denisov, 46, 6), Faizulin 7, Shatov 6 (Dzagoev 67);
Kerzakhov 6.5, Kokorin 7
Subs not used: Lodygin (GK), Ryzhikov (GK), Shchennikov, Semenov, Kanunnikov,Granat,
Mogilevetc, Zhirkov, Ionov, Eschenko
Booked: Kozlov, Kombarov
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!