Baada ya kukava majarida mengi ya mitindo kwa mavazi tofauti
na mengine yalimfanya aonekane amekiuka maadili, Rihanna amepata nafasi
ya kulikava jarida la Harper’s Bazaar Arabia kwa mavazi ya Kiarabu
ambayo ni maarufu sana katika mwambao wa Pwani ya Afrika Mashariki.
Rihanna analing’arisha toleo la Harper’s Bazaar Arabia la July/August.
Katika picha za jarida hilo, Rihanna anaonekana akiwa amefunika mwili mzima kuanzia kichwani hadi kidole cha mguu lakini bado anaonekana mwenye mvuto kama warembo wa Pwani ya Afrika Mashariki.
Hizi ni baadhi ya picha kadhaa la Jarida hilo:

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!