Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » KATI YA HIZI NCHI 16 NI IPI UNAHISI ITANYAKUWA KOMBE HILI LA DUNIA?

KATI YA HIZI NCHI 16 NI IPI UNAHISI ITANYAKUWA KOMBE HILI LA DUNIA?

Written By Unknown on Friday, 27 June 2014 | Friday, June 27, 2014

Wenyeji Brazil watakuwa wakiumana na timu ya taifa ya Chili ni hiyo jumamosi ya tarehe 28 itakuwa kwenye mida ya saa kumi na mbili kamili majira ya Bujumbura Burundi sawa sawa na saa moja kamili majira ya Afrika mashariki.
Usiku kwenye mida ya saa nne kamili bila mkali wakungatana meno wa Uruguay watakuwa wakiumana na Colombia haitakuwa mechi rahisi hiyo ambayo si yakukosaa.
Jumapili ya tarehe 29 juni Mexico watakuwa wakikwaruzana na Waholanzi yani akina Van Persie na Roben si mechi nayo pia yakukosa sababu naimani hapo ndo utawajuwa hao wakali wawili vile wanavyo sukuma kabumbuu itakuwa saa kumi nambili majira ya Bujumbura sambamba vile vile na saa moja majira ya Africa ya mashariki.
Usiku saa nne tena kutakuwa bonge la kitim tim kati ya Costa Rica na Ugiriki,wagiriki ni washupavu saana ukiwaona unamaliza dakika 90' umesha walambisha hata limoja basi wewe shukuru Mungu sababu hawa wajama kwatikisa nyavu si kitu chepesi.
Jumatatu kwenye mida ya saa kumi na mbili kamilii timu ya kwanza ya Africa itakuwa imeingia na yao kupima yake bahati ambapo Nigeria itakuwa ikumana na timu ya taifa ya Ufaransa moja mwa timu usiombe mkutane nazo akina Valbuena,Sakho,Varane,Karimu Benzema,Sissokho hatari saana hawa majama bila kumsahau mtu zaidi mbaya wakuokopa kwenye timu hiyo,yani acha wote ila huyu zaidi umtizame anae itwa Paul Pogba ama Golden Boy mbaya saana  huyu.
Baadae usiku wa saa nne kule kwenye uwanja wa Porto Alegre timu nyingine ya Africa itakuwa nayo pia kuonesha uwezo wao ambayo ni Algeria watakuwa wakikutana na wale wajama wa Ujerumani akina Ozil wabaya saana hawa simchezo wakukosa na wao pia.
Jumanne pia michezo itaendelea ambapo akina Messie watakuwa na akina Djourou nawazungumzia Wasuisi watakuwa na kazi ngumu mbele ya Argentina Kun Aguero,Zabaleta na huyo Messie itakuwa kuuwa nakwambia mchezo huwo utachezwaa saa kumi na mbili ma saa ya Bujumbura sawa sawa na saa moja majira ya Africa ya Mashariki ni mechi ambayo itachezwa huko Sao Polo.
Na mechi ambayo itakuwa ya mwisho usiku huwo wa jumanne itazikutanisha timu za marekani na Ubelgiji si mechi yakuacha kutizama sababu akina Hazard wote,Fellaini,Mtoto Januzaj pia ni mechi itachezwa huko kwenye uwanja wa Salvador.





TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi