Jean Claude Birumushahu akiwa kazinii...hana mchezo wala hachekii akiweka amewekaa |
Kwenye match ya mwisho ya kundi E yakufuzu kwenye mzunguuko wa pili kati ya Ufaransa na Equateur,katika wale wasimamizi wane wa mechi hiyo ambao ni pamoja na yule jama wa Ivory Coast ambae ndie alikuwa mpiga kipenga ajulikanae kama Désiré Noumandiez Doué huku aliye kuwa akishikilia kitamba kwa upande wa kusoto pia na yeye alikuwa raia wa huko huko Ivory Coast anae julikana kwa jina la Yéo Sounguifolo pia alikuepo na mrundi ambae ni Jean Claude Birimushahu kwenye upande wa kulia huku yeye ndie aliye kuwa alipewa usimamizi mkubwa wa mechi hiyo ya Ufaransa na Equateur.
Kama ulikuwa haumfahamu Birimushahu wala haufahamu baadhi ya Match za kimataifa ambazo alisha wai kuzisimamia basi piga jicho hapa:
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!