Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , , » HUYU NDIE MCHEKESHAJI ALIYE VAMIA MSAFARA WA WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA UINGEREZA NAKUZUWA KITUKO

HUYU NDIE MCHEKESHAJI ALIYE VAMIA MSAFARA WA WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA UINGEREZA NAKUZUWA KITUKO

Written By Unknown on Monday, 2 June 2014 | Monday, June 02, 2014



Mchekeshaji mahiri nchini England, Lee Nelson ameendeleza vituko vyake baada ya kuingilia safari ya timu ya taifa ya England.

Timu hiyo ya taifa ya soka ilikuwa inaondoka kwenda nchini Marekani kwa ajili ya kambi kabla ya kwenda Brazil kwenye Kombe la Dunia.
Nelson akazuga naye ni kati ya wachezaji, akawa bize kinoma kabla ya kushitukiwa.
Steven Gerrard ndiye alianza kushitukia kuhusiana na mchekeshaji huyo.
Polisi wakaitwa na kumkokota Nelson, wakamtoa kando huku akiwa amevaa suti zinazolingana na kufanana na za wachezaji wa England kabisaa utadhani naye ni mhusika.
Wakati Fulani aliwahi kuvamia mazoezi ya Man City lakini kipa Joe Hart akamshitukia.
Gerard akimzubaliyaa

AKITOLEWA
Picha za chini zinaonyesha alivyowahi kuvamia mazoezi ya Man City kabla ya kushitukiwa na kutolewa.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi