Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , , » HUYU NDO MWANAMUZIKI KUTOKA MAREKANI ALIYE NASWA NA POLISI GHAFLA NAKUTUPWA GEREZANII.

HUYU NDO MWANAMUZIKI KUTOKA MAREKANI ALIYE NASWA NA POLISI GHAFLA NAKUTUPWA GEREZANII.

Written By Unknown on Monday, 30 June 2014 | Monday, June 30, 2014

Kiongozi wa May Back Music ameripotiwa kuwa alikamatwa na kutupwa selo na polisi wa Greensboro, North California baada ya kumaliza show yake katika tamasha la SuperJam 2014.
Kwa mujibu wa TMZ, Rick Ross alikamatwa na polisi kwa kuwa hajaonekana katika mahakama za             North California kuhudhuria kesi yake inayohusu bangi/Marijuana iliyokuwa inamkabiri tangu mwaka jana.
Rapper huyo anadaiwa kuwa hakuonekana kabisa eneo hilo hadi mwaka huu, ambapo polisi wametumia nafasi hiyo kumkamata.
Hata hivyo, Rick Ross ambaye hivi sasa amepungua sana uzito anadaiwa kuwa mpole na kutii sheria hadi alipotupwa selo na kuachiwa masaa kadhaa baadae.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi