Ripoti zilizoandikwa na gazeti la The Daily Mirror zinaeleza
kuwa lugha ya matusi kwenye nyimbo za Eminem ndio chanzo cha yeye
kukataliwa kufanya show kwenye eneo la Hyde Park, Uingereza.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, mmiliki wa Hyde Park, Linda Lennon ameeleza kuwa aliamua kutompa nafasi Eminem kuperform katika eneo hilo kwa kuhofia ujumbe wa nyimbo zke na lugha anayotumia ingewaudhi wateja wake.
Ofisi ya Mayor wa jiji la London, Boris Johnson imeeleza kuwa haikuhusishwa kabisa katika uamuzi wa kumzuia Eminem kuperform katika Hyde Park. Walifafanua kuwa hawakufahamu Eminem ni nani na hawakuwa na uwezo wa kuingilia maamuzi ya Wamiliki wa eneo hilo.
Eminen alitarajiwa kuperform katika Hyde Park June 3 kabla hajazuiwa.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!